Nikaribisheni jamani, natoka Kijiji Balaa

Kijiji Balaa

Member
Nov 29, 2012
47
10
Jamani sina Balaa ila kama ukilitaka utalipa, naomba ukaribisho kijijini hapa jamani. Stori za huku kwetu ukizitaka nitakusimulia ila sharti uwe na moyo mgumu maana ni za kusikitisha na kuogofya sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom