Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Hebu malizia kwanza ulipomkuta Positive bado uligonga au ulitema mzigo???then nitarudi kucomment
tumekuwa friends with benefit,
Hebu malizia kwanza ulipomkuta Positive bado uligonga au ulitema mzigo???then nitarudi kucomment
vipimo hivi huwa vinadanganya, hasa ukiona negative. ila ukiona imeonyesha positive, ujue ni kweli havidanganyi. nasema hivi kama vimeonyesha negative usiamini kwasababu wakati mwingine ngoma huwa inaonekana baada ya miezi mitatu tangu mtu ashike, hivyo kama amenasa ana mwezi mmoja tu haijasambaa mwili wote unaweza kupima kumbe damu uliyoiminya ni salama ila ile iliyobaki labda ilikuwa inazunguka maeneo mengine ya mwili ni positive, hivyo ukajikuta majibu yanaonekana negative kumbe ndani ya mwili huo kuna positive lakini ukimwi upo initial stages tu. kama ukiona demu ameonekana negative, usipige kavu, piga na mpira.
vilevile, usiogope tu ngoma, siku hizi hata kama mtu hana ngoma anayo hepatitis, ugonjwa wa ini unaoenezwa kwa ngono ambao ni mbaya kuliko ngoma kwani hauna arv....cha muimu ni kuacha ngono nje ya ndoa tu ndio suluhisho. mwisho, kama umeshapiga kavu mzee, nakushauri kaa miezi mitatu nenda kapime, inawezekana umeshanasa.

Huwa mnatumia nini kujitoboa ili mpate damu? Ila kujipima mwenyewe kwalengo lakujua afya yako ni vizuri tuu ila kwamaswala ya ngono nihatari isiyokuwa na mfano?
Uzi unaogopesha, au?
Msipite mbali jama!!
Nahitaji msaada.
Yeye ndiye anayegongwa na hao wanaume anaowapima. Kwahiyo kwenye biashara yake, haliwi mpaka awe amempima mlaji.
vipimo hivi huwa vinadanganya, hasa ukiona negative. ila ukiona imeonyesha positive, ujue ni kweli havidanganyi. nasema hivi kama vimeonyesha negative usiamini kwasababu wakati mwingine ngoma huwa inaonekana baada ya miezi mitatu tangu mtu ashike, hivyo kama amenasa ana mwezi mmoja tu haijasambaa mwili wote unaweza kupima kumbe damu uliyoiminya ni salama ila ile iliyobaki labda ilikuwa inazunguka maeneo mengine ya mwili ni positive, hivyo ukajikuta majibu yanaonekana negative kumbe ndani ya mwili huo kuna positive lakini ukimwi upo initial stages tu. kama ukiona demu ameonekana negative, usipige kavu, piga na mpira.
vilevile, usiogope tu ngoma, siku hizi hata kama mtu hana ngoma anayo hepatitis, ugonjwa wa ini unaoenezwa kwa ngono ambao ni mbaya kuliko ngoma kwani hauna arv....cha muimu ni kuacha ngono nje ya ndoa tu ndio suluhisho. mwisho, kama umeshapiga kavu mzee, nakushauri kaa miezi mitatu nenda kapime, inawezekana umeshanasa.
majibu ndo yanaogoposha
nitarudi badae kwajili yako mkuu...!!?? una sema kuna sehemu amna ukimwi kwenye damu..??? ww ni waku chapa sana....!!! kama jambo lipo njee ya uwezo wako ni bora uwa achie wanao jua ili na ww uweze jifunza kupitia wao..!!!
Madokta na Wataalafu wa Afya:
je ni salama kutumia hizi Deteminer au Unigold kufanya self test na mwenza wako mkiwa faragha na kuamini majibu?
Nasema hivi maake mimi huwa nafanya hivyo mara nyingi,
na kati ya nnliopima nao,
kuna 2 nliwapata Positive,
1 nlimshauri kwenda kucheki zaid maake huenda ilikuwa sio kweli,
akakuta majibu yalyale pos,
na mwingine sikufatilia majibu yake.
Huwa nnaanza kujipima na kumwomba mwenzang naye apime,
vipimo hivi hutumia tone dogo la damu toka kidole mkono wa kushoto,
Je wataalamu njia hii mnashauri nn
vipimo hivi huwa vinadanganya, hasa ukiona negative. ila ukiona imeonyesha positive, ujue ni kweli havidanganyi. nasema hivi kama vimeonyesha negative usiamini kwasababu wakati mwingine ngoma huwa inaonekana baada ya miezi mitatu tangu mtu ashike, hivyo kama amenasa ana mwezi mmoja tu haijasambaa mwili wote unaweza kupima kumbe damu uliyoiminya ni salama ila ile iliyobaki labda ilikuwa inazunguka maeneo mengine ya mwili ni positive, hivyo ukajikuta majibu yanaonekana negative kumbe ndani ya mwili huo kuna positive lakini ukimwi upo initial stages tu. kama ukiona demu ameonekana negative, usipige kavu, piga na mpira.
vilevile, usiogope tu ngoma, siku hizi hata kama mtu hana ngoma anayo hepatitis, ugonjwa wa ini unaoenezwa kwa ngono ambao ni mbaya kuliko ngoma kwani hauna arv....cha muimu ni kuacha ngono nje ya ndoa tu ndio suluhisho. mwisho, kama umeshapiga kavu mzee, nakushauri kaa miezi mitatu nenda kapime, inawezekana umeshanasa.
kama ww sio mshauri nasaha, na huna vyeti vya kusibitisha umeenda kozi za masuali hayo, huyo dada akienda kujiua na ikafahamika ni baada ya ww kumpima, utaozea jela.
vinauzwa sh ngapi na je kwenye pharmacy vinapatikana