Nikanunue wapi kifaa cha HIV test?

Kijana umepata wapi kibali cha kuwapima watu ngoma sebuleni kwako.....
Huo udaktari umeupatia wapi wa kukufanya uendeshe vipimo bila tiba sebureni kwako......??
Ukishawapima na ukawagundua kuwa wameathirika huwa unawasaidiaje zaidi ya kuwatangaza vijiweni kwenu......kumbuka kuwa huo unaoufanya sio ustaarabu...

hulazimishwi kupima,
yupo aliyekataa, tuliahirisha kila kitu,
now we are just friends,
kifupi hiyo ni siri yangu Mkuu.
Usihofu.
 
Nenda duka la madawa lolote kubwa lililo karibu nawe!
Bei anapanga mwenye duka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom