Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Hahahahaahahahahaha! Loh! kama nakuona, maana uso ulikuwa mdogooooooooooo kama piriton, kwa aibu.Ila usemayo Mtambuzi ni kweli serikalini watu hawafanyi kazi bila ushirikina weng wao wanaabudu sana mambo hayo, tena wale walio kwenye position kubwa hao ndiyo wanalala kwa waganga wakiloga, wanaogopa kuvuliwa madaraka.Wanamsahau hadi Mungu aliyewaumba, wanatukuza waganga.
Nina wasi wasi ulichoandika hapo kwenye red mkuu Lisa!
Last edited by a moderator: