NATA kipanda uso kilipona kabisa mpaka leo sijawahi kuumwa hicho kitu.....Gustavo, kipanda uso kilitibika na hiyo miti shamaba?
Usikute huyo boss wako alikuwa mtaalam wa ulozi ndio maana moja kwa moja akahisi ametegeshewa na kwanini afungue bahasha ya mtu, atakuwa alikuwa mpekuzi huyo!
Mkuu kuna kozi nafanya hapa kazini na ndio imenibana sana, natarajia kurudi mwezi JUNE maana nina kesi nyingi za kufa mtu...Big up mkuu. Mkuu mtambuzi mbona siku hizi sioni mabandiko yako ya marejeo ya kesi siku za ijumaa? Nazimiss sana japo nazirudiarudia sana!
Mkubwa hii riwaya ama kuna ukweli uliwekea limao kidogo, pili pili na Royco kunogesha mchuzi?
Mkuu kuna kozi nafanya hapa kazini na ndio imenibana sana, natarajia kurudi mwezi JUNE maana nina kesi nyingi za kufa mtu...
Bado nipo nipo na visa vya kufikirika
Mkuu kwa kweli tangu siku hiyo naogopa sana kufanya kazi serikalini, kuna imani za kishirikina sana kule...
Labda nilichojifunza ni kwamba usimkuhumua mtu kabla ya kumsikiliza
Mkuu Teamo, mimi sio mwandishi wa habari wala sijawahi kusomea hiyo taaluma ila ninadhani nina kipaji tu cha kuandika mambo ya kufikirika ili watu wapate kujifunza na kufurahi......Mkuu Mtambuzi swalama ndugu yangu?.....
Wadogo zangu wazima kabisa kabisa?.......
Ama baada ya salamu naomba unijuze kwamba wewe una taaluma ya uandishi wa habari?
nitoe ushamba mkuu...Mkuu Teamo, mimi sio mwandishi wa habari wala sijawahi kusomea hiyo taaluma ila ninadhani nina kipaji tu cha kuandika mambo ya kufikirika ili watu wapate kujifunza na kufurahi......
Unaweka alama ya @ kabla ya kuandika jina la huyo mtu unayetaka kum mention bila kuacha nafasi na jina litatokea la rangi kuonesha kwamba ameshakuwa notified ....nitoe ushamba mkuu...
hivi unammention vip mtu hadi anapata notification ya mention?