Afande Bellick
Member
- Apr 23, 2025
- 17
- 16
Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini.
Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa.
Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani.
Kwa kuwa nimejiunga na sim banking nimekuwa natumiwa msg Kila pesa zinapoingia na nilikuwa napuuza nikiamini kama nimtu au benki wenyewe wamekosea watanitafuta ila kinyume chake hakuna anayenitafuta na pesa inaendelea kuingia Kwa nyakati tofauti tofauti.
Pesa hii inaweza kuingia hata mara mbili ndani ya mwezi na huwa inabadilika kiwango Kwa Kila muamala, mfano mwezi huu inaweza iingie laki 3,mwezi mwingine elfu60 n.k.
Nawaza niende benki husika kuwaeleza, niitumie au niendelee kuisikilizia japo tangu ianze kuingia huu ni mwaka Sasa.