Nikabebe box majuu!!

Mtu anaposema "kubeba box" huwa anamaanisha nini? Naomba maelezo jamani kwani huwa sielewi huu usemi.

mtafute mkuu wao atakudadavulia anaitwa lukosi . anaishi na mjane mmoja anaitwa faiza ukimkosa baba mtafute faiza ni wanachama wa chama chakavu kinaitwa ccm......
 

mimi nakushauri safiri duniani popote kadiri uwezavyo.mtu aliesafiri sio sawa na mtu ambae hajasafiri.
 
Wapo wazungu wanakuja empty handed hapa Tanzania wanaondoka mamillionea sasa wewe mzawa unashindwa kuzidisha maarifa na elimu uliyoipata kumake money hapa na ndugu zako wafaidi.
 
Njoo huku tuoshe vyoo mkuu we ntumie hiyo 7m nikufanyie mishe, ila unakuja kama asylum seeker!

Acha woga, we ni-pm

Acha fiksi kaka, nahisi kama nlishakuona Mwembeyanga kwenye mazoezi ya Ashanti?
 
Ushauri mzuri sana mkuu,

Zamani ilikuwa rajisi sana kupata masiha majuu lakini sio siku hizi hasa baada ya kuanzishwa umoja wa nchi za ulaya sababu zile kazi sasa zinafanywa na vishoka
 
Ushauri mzuri sana mkuu,

Zamani ilikuwa rajisi sana kupata masiha majuu lakini sio siku hizi hasa baada ya kuanzishwa umoja wa nchi za ulaya sababu zile kazi sasa zinafanywa na vishoka

Ninakuelewa kaka lukosi,

Nafahamu kwa sasa Waromania, Wabulgaria wamesheheni hapo UK wakiosha vyombo, safisha vyoo, na shughuli zote zisizohitaji utalaamu.

Ila dhumuni langu kubwa la kusafiri ni kukutana na sura mpya, lugha mpya, imani mpya, matusi mapya, na kujifunza kitu tofauti na sio kutafuta fedha kwa namna yoyote.

Mimi nina nyumba ndogo tu ya kawaida sana ya kunitosha, hivyo sihitaji kutafuta pesa kiihivyo ikizingatiwa vitu vingi murua na vyenye kuleta furaha hupatikana buuure kama hugs, smiles, friends, kisses, family, sleeps, love, laughter, good memory e.t.c

Ninachohitaji ni kusafiri na kusafiri nijifunze mengi na kuyatazama maisha katika perspective hasi zaidi.

Shukrani.m
Shu


Ushauri mzuri sana mkuu,

Zamani ilikuwa rajisi sana kupata masiha majuu lakini sio siku hizi hasa baada ya kuanzishwa umoja wa nchi za ulaya sababu zile kazi sasa zinafanywa na vishoka
 
Mkuu kama una kisomo/ujuzi wenye sifa unaweza omba working visa na kuja kufanya kazi kwa taaluma yako

Soma hii link tafadhali
UK Border Agency | Working in the UK
 
Mkuu kama una kisomo/ujuzi wenye sifa unaweza omba working visa na kuja kufanya kazi kwa taaluma yako

Soma hii link tafadhali
UK Border Agency | Working in the UK

Vyema kaka,

mimi ni graduate wa degree ya kwanza ngoja nione kama taaluma yangu ni kipaumbele kwao hawa mabwana.

Mwanzoni nilifikiria juu ya udhamini wa masomo ughaibuni ila nikaona kuna ugumu flani pia kwenye hili. Nikatafuta hiki kidogo na kuanza hustle za kusafiri kwa mapeni yangu mwenyewe.

Asante.
 
Acha dharau kijana, uliniona mwembeyanga wapi mm? Yani unadhani najipa ujiko kuwa sipo majuu? Haya lakini mie nakupa mchongo, achana na ulaya njoo uku Oceania, ulaya ndio wanaokuja daily kuomba kazi za shambani, kudeki huku nchi km Romania, Germany, Ireland, Wales, etc wako mitaani kwa jina twawaita backpackers(working holiday visa holders, kwa visa #457 ).

Last sept kabla Abbot hajawapa pm vzr wabongo 2 walijitoa mhanga kuja na boat toka Indonesia wakajimix na wacongo, iranian, afganistan etc. bht yao walipewa visas. Ila sio rhs lzm uwe risk taker wa kweli, coz kupanda boat wiki3 sio mchezo.

Tatizo ni kuwa degree yako hasa km sio bussiness related we ni ziro tu labda uwe na tradesman-qualifications

Next time uache dharau kijana
 
Pia nitafurahi kama nitapata ofa ya kuja kupiga boksi hapo Serengeti freight and fowarders kama volunteer kwa siku kadhaa gharama za usafiri juu yangu.
Mkuu ukifanikiwa kupata Visa karibu sana serengeti.

Tutakupatia boksi lako wakati ukitafuta maboksi makubwa.

Si unajua kupokea simu na kutumia pc? Umewahi inua vitu vizito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…