nijinunulie nini birthday yangu kesho

nijinunulie nini birthday yangu kesho

Kanunue mjasiria mali pale kona bar,uburudike.
Usisahau kuvaa condom.
 
Watu wabaya nyie mwenzenu anauliza zawadi mmempa mashushu mweeh. Mwaya nenda kale chips na kuku we mwanachuo
 
kama una mshiko angalia kitu unachokipenda na ungetamani kuwa nacho iwe kumbukumbu
 
Katoe kopi madesa yote ili usiwe unasumbua wenzio.
 
Gonga juisi ya ukwaju na maziwa mtindi...lol! (nzuri kwa afya yko)
 
Kanunue maparachichi ule. Yatakusaidia kupata choo!
 
Back
Top Bottom