Niishi nae vipi huyu mwenza

Niishi nae vipi huyu mwenza

Watu wanapenda mazoea kisa tu majirani. Mi najua washanisema mpaka wamechoka ila ndo utaratibu wangu huu.
Naweza jifungia ndani siku 2 siwashj TV wala taa ya nje sizimi
Ni kweli uyasemayo, binafsi naweza sema nipo busy sana na mambo yangu, nawafahamu wadada sana tu mambo ya umbea sijui makitu gani huko, hapa tu wanasema najishaua mara mtu akununie asa ndy maana kama Sina kazi nalala tu ndani kwangu kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo mkuu limenifanya niliwaze sana, sasa hapa nimeambuwa sijui introvet af sielewi wanachoongea
Haiwezi kutumika hapo mkuu tusifarijiane tuambiane tu ukweli, huyo sio mkimya na hajakosa chakukuambia ila ishu ni hana sababu yakuongea na ww ndo maana neno hilo likamtoka, hao ambao wanazungumziwa hapo ukiuliza swali hawezi kuacha kujibu bali hana ile nani yakufanya swali lizae swali mpaka mwisho inakuwa mazungumzo yeye ukimuuliza atajibu lile swali ulilomuuliza kama linahitaji yes na no atajibu hivyo bila kuongeza maelezo ya ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida inakuja pale Senguine Extroverted anapodate na Meliconile Introverted..Mkuu haya mambo ya Personalities yana effects kubwa kwenye mahusiano ya watu. Kama unaona hutaweza kumvumilia bora umuache atapata wa kufaana nae.. Kumbuka personality sio Behaviour ambayo unaweza badirisha..
Hapa umenena mkuu
 
Pole Chief, jinsi wewe unavyokerwa na jinsi alivyo, hata yeye anakerewa na jinsi alivyo.
 
Shida inakuja pale Senguine Extroverted anapodate na Meliconile Introverted..Mkuu haya mambo ya Personalities yana effects kubwa kwenye mahusiano ya watu. Kama unaona hutaweza kumvumilia bora umuache atapata wa kufaana nae.. Kumbuka personality sio Behaviour ambayo unaweza badirisha..
Mkuu kama hutojali naomba utupe ufafanuzi wa hizo personalities
 
Back
Top Bottom