Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,076
Yes you're right dear..Wajina,
Hapa nimekuona wewe 100%,
Am I right???
It’s me Clearly 100%
Yes you're right dear..Wajina,
Hapa nimekuona wewe 100%,
Am I right???
[emoji3][emoji3] umenikumbusha kipindi nipo chuo nimepanga watu wa hiyo nyumba sikuwa nawajua ikafikia wakati hata hela ya umeme hawaji kunidai eti wananiogopa na naringa kumbe wala sinaga story nyingi tu.Yani mimi kabisa bila chenga, sipendi kuongea, hadi hapa ninapokaa wanajua naumwa au naringa kabisa maana ni mkimya sana, kwanza kuna wapangaji wenzangu siwafahamu maana nikiingia room kwangu ndy sitoki labda mtu anigongee hodi.
Yani sigana Story na mtu zaidi ya wadada wawili ambao naishi nao, tena hadi waje kwangu, kwanza wote wanaume naongea nao kitu gani jamani[emoji3][emoji3] umenikumbusha kipindi nipo chuo nimepanga watu wa hiyo nyumba sikuwa nawajua ikafikia wakati hata hela ya umeme hawaji kunidai eti wananiogopa na naringa kumbe wala sinaga story nyingi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza...Maybe tatizo ni hili
![]()
Je, Mungu ananiepusha na zinaa?
Yaani nikipanga kukutana na mwanamke tu, basi either nitaumwa au kutatokea dharura itakayonitaka nitoe hela hadi niliyopanga kwa kutumia maeneo. Mara nyingi nimekuwa nikicancel appointment hadi inafika wakati nahisiwa jogoo hapandi mtungi. Ni wito wa uchungaji au nini?www.jamiiforums.com
Amechoka story....if you know what i mean
[emoji41][emoji41]Huyo ni mimi kabisaa!
Kuna mambo ya msingi sana ya kuongea na kuyafanyia utekelezaji, mambo ya kusema I miss you too hebu waachie watoto wa secondary mkuu!!
Sijui nazeeka mimi jamani!!
Hebu acha mtoto asome...college from form four
Abeeee [emoji1780][emoji41][emoji41]
Nimejiona mimi kabisaa jamani!Psychology ni field pana mno..maana ndio imebeba na kugusa kila nyanja ya maisha na mazingira ya binaadamu.. Psychology ndio sayansi yenyewe..Kwa muonekano mpenzio yupo kundi hili lenye sifa hizi...
MELANCOLIN
Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo;
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
- Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
- Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
Sifa zao nyingine ni pamoja na;
- Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
- Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
- Wakata tamaa wanapokosolewa.
- Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
Nyinginezo ni;
- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.
- Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
- Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).
- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.
- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.
- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
Pia, wanafahamika kwa;
- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
- Wana busara na hekima nyingi
- Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
- Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
- Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
- Ni kundi la watu wanoridhika haraka
- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.
- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
- Kundi linalopenda amani na utulivu
- Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.
Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;
- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
- Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
- Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
- Wakati mwingine hupenda kujikataa.
- Ni waaminifu na wasema ukweli
- Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
- Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
- Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].
- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.
Mifano ya watu wa kundi hili: Musa (wa biblia) Yesu Kristo, Bob Marley, Celin Dion.
Aiseeecollege from form four
Hongeraa.. the destiny of our world is laying to us.. We are the mirror of our world..we are the one who can make our world to be the better place.Nimejiona mimi kabisaa jamani!
Nothing [emoji73], mefurahi tu ona comment yakoAbeeee [emoji1780]
Umezaliwa robo au nusu ya mwisho wa mwaka?Hongeraa.. the destiny of our world is laying to us.. We are the mirror of our world..we are the one who can make our world to be the better place.
Be humble..Be wise. Nafurahia kuona watu tulio kundi moja
Hmmmm.. I got u but nkuulze kati ya psychology na astrology, auras etc kitu gan kina higher accuracy kwenye ku'predict character ya mtuPsychology ni field pana mno..maana ndio imebeba na kugusa kila nyanja ya maisha na mazingira ya binaadamu.. Psychology ndio sayansi yenyewe..Kwa muonekano mpenzio yupo kundi hili lenye sifa hizi...
MELANCOLIN
Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo;
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
- Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
- Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
Sifa zao nyingine ni pamoja na;
- Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
- Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
- Wakata tamaa wanapokosolewa.
- Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
Nyinginezo ni;
- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.
- Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
- Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).
- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.
- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.
- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
Pia, wanafahamika kwa;
- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
- Wana busara na hekima nyingi
- Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
- Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
- Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
- Ni kundi la watu wanoridhika haraka
- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.
- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
- Kundi linalopenda amani na utulivu
- Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.
Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;
- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
- Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
- Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
- Wakati mwingine hupenda kujikataa.
- Ni waaminifu na wasema ukweli
- Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
- Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
- Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].
- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.
Mifano ya watu wa kundi hili: Musa (wa biblia) Yesu Kristo, Bob Marley, Celin Dion.
Tatehe 10 June kiongoziUmezaliwa robo au nusu ya mwisho wa mwaka?
Psychology mkuu. Maana yenyewe hai predict bali inaonyesha kabisa kutokana na tafiti..na uchunguziHmmmm.. I got u but nkuulze kati ya psychology na astrology, auras etc kitu gan kina higher accuracy kwenye ku'predict character ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app