Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
Huyu Ni mimi MTU mpole saanaa sitamuweza jamani yaani mkimya kama kamwagiwa maji ya baridi hapana!bora awe mpole wa kawaida huyo wa hvyo atanipa mtihani jamaniShida inakuja pale Senguine Extroverted anapodate na Meliconile Introverted..Mkuu haya mambo ya Personalities yana effects kubwa kwenye mahusiano ya watu. Kama unaona hutaweza kumvumilia bora umuache atapata wa kufaana nae.. Kumbuka personality sio Behaviour ambayo unaweza badirisha..
Sent using Jamii Forums mobile app