ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Mpaka sasa life without Google would be hard for Me
'una maswali mengi kwani we ni polisi'
'una majibu mengi kwani we ni google'
kudos google
Mpaka sasa life without Google would be hard for Me
Nilijua chief hautakosekana Ila unavyosema mwisho wa Google unauona camini juh ya Hilo Khomeini nikutajie software za Google zilizompiga bao Microsoft chrome IPO jiu ya ie picasa IPO huh ya photoviwer ya Microsoft adroid vs windows 7 mobile csjua.coz cjawah kutumia window 7 mobile Ila ukiangalia cmu nying zna mkataba na adroid os turudi JFK search engine googlrtsearch ni bora Mara mia Julio bing halo bado cjagusia googlearth wale socialnetwork inayokuja juu ya g+
sikuwa najua kama kampuni ya apple ni tajiri kuzidi microsoft naona apple.
sikuwa najua kama kampuni ya apple ni tajiri kuzidi microsoft naona apple.
teh teh hapo naona utata! chief mm mnifumbue kuhusu linux ! who is a rightful owner wa hii kampuni! na kuhusu oracle kudhurumiwa na google kwan googe kwan iliisha vp maana last time nliskia oracle kampeleka google mahakamani kuhusu kukopi codez za java na kuzitumia kwenye androids! kesi iliishia wapi mkuu!!!! :ranger:
Kama ni hvyo bas shughuli ipo ila wakukuruke wee cdhan kawa watampata kirahs gugo ktk search engine na gugo map labda huko kwingine watatoa upinzani
Hongera chief naona sasa umekuwa mkweli kuhusu unachoongea na siyo tuu kusifia nokia......Sio microsoft tu waliizidi hadi serikali ya marekani hawa jamaa wanawauzia watu michina an then kwa bei kubwa
kuna jamaa wanajiita ifix hawa kila simu mpya ikitoka wanaichangua hardware moja moja then price inakua calculated. Hardware za iphone 5 zimecost dola 200 so tukijumlisha os na app za inbuilt iphone ni kama dola 300 lakini sokoni inaanzia dola 800 ina maana kuna faida kama dola 500 kwa kila device. Iphone wameuza device milion 8 kwa siku 3 so milion 8 tukizidisha kwa 500 ni sawa na bilion 4 ina maana ndani ya hizo siku 3 apple wamepata faida ya trillion 6 za kibongo after week watakua washaizidi budget ya tanzania. So hio ni iphone bado ipad bado apple bado mac bado makoro koro mengine
Hongera chief naona sasa umekuwa mkweli kuhusu unachoongea na siyo tuu kusifia nokia......
Sio microsoft tu waliizidi hadi serikali ya marekani hawa jamaa wanawauzia watu michina an then kwa bei kubwa