Yaaaani google sioni ukali wao.... mimi nitakuambia 2 mtazamo wangu na android os ya simu. Yani mwaka huu 2 makampuni kibao yametumia hiyo os ya android na yote kama yanachemsha.... hiki ni kalist kadogo ninachokakumbuka
Droid 2, Droid X, Droid X2, Droid Bionic, Droid Razr, and Atrix. Alafu nikaona LG nao walishow some love with myTouch, Optimus, and Thrive. Not to mention Rezound, Evo 4G, Evo 3D, Droid Incredible, Droid Incredible 2, Thunderbolt, and Droid Eris. And finally the Sumsung Galaxy S, Galaxy S2, Galaxy S3, Captivate,Note, Infuse 4G na Droid Charge. Yani bahati ya makampuni yote haya na bado wote wanasumbuliwa na kitu Apple na sijui simu kama mbili hivi au tatu kwenye iphone line.....iphone 3gs,iphone 4 na iphone4s bila kusahau iliyotoka tuu juzi juzi iphone 5 nazani google wanahali mbaya........ Mtazamo wangu 2