Niijuavyo Freemasonry


Huu ni mtazamo wangu,nilichokimaanisha hasa ni kwamba ,,ninachofikiria mimi,,kuhusu jambo hili.
 

Umesema vyema sana mkuu,,watu hawajui wakisemacho kuhusu masonic ,kuna mmoja et kasema kabla ya wakoloni babu zetu walitoa kafra kwa shetani,na baadae wkaanza kutoa kwa mungu.nilipomuuliza kwa nini akaondoka kimoja
 
but unapokuja eneo kama hili mkuu jipange usiache mwanya watuu wakabaki na doubt....... kuna gapes umeacha kaka hata kama mawazo yako mengine haya wezi kuwa yako daima hasa unapokuja katka swala ambalo lishaanzishwa na wengine... u hav to be careful oh! otherwise weka msimamo wako kabisa mwishon usije kama popo mzee.
 

Hahahha nice mkuu,nimeipenda hiyo hapo mwisho,popo
 

Mkuu nakushauri usome kitabu kinachoitwa MORALS AND DOGMA; guide to Freemason by Albert pike.
 
Jiwe walilolikataa waashi nimekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Nimekitapa
 

Attachments

  • 1394889371386.jpg
    60.5 KB · Views: 235
Lakini,hiki inaelezea misingi na taratibu za uanachama za kawaida kabisa naona kuna orodha ya degrees,hili mbona ni jambo la kawaida katika uongozi,ndo mana hata kule upande wa pili kuba ,papa-makadrinali-mabalozi-maaskofu-maparoko-,mapadri-mashemasi-,waseminari-waumini n.k
 
1."Msonic hufanya shughuli zao kwa umakini na kanuni zao ni za siri pia" 2."Kwa mtazamo wangu mimi masonic sio dini kam wengi wasemavyo" Kama huu ni utafiti wako basi Naamini ungemwaga facts kwanini wanafanya mambo yao kwa USIRI. Pia kama ulichoandika hapo namba 2 kwenye maandishi mekundu ndo unamaanisha kama nilivyoelewa mimi basi Utafiti wako hauna maana b'se your part and parcel of the secret society.halafu sorry hivi kwanini waitwe WAJENZI HURU kwani kuna ambao sio Huru eti? mimi naona pia utafiti wako hauna mantiki hayo nimawazo yako tu. do you know the meaning of research? any way naona jamiiforums pia ni sehemu ya watu kuburudisha akili zao
 

,,b'se your part and parcel of the secret society.mkuu kwanza hicho sio kiingereze ulichoandika hapo juu.ngeandika b,se you are part and parcel of the secret society ningeelewa japo kidogo unachomaanisha.

Wajenzi huru ni kwa sababu tangu mwanzo walifanya kazi bila mipaka,i mean waliweza kuchukua tenda za ujenzi kila pande duniani.

Kuhusu kufanya kazi kwa siri,ni moja ya mikakati ya kufanikiwa .jambo lolote linalohitaji umakini halinabudi lifanywe kwa usiri.
 
Kwa kuongezea tu,kwan vikao vyote vya pala Vatican huwa magazeti yanaandika ama huwa ni live??,
 
Wewe ni dini gani? i.e unaamini katika uwepo wa Muumba na kwamba sote tuko chini yake ama unaamini kutokuwepo kitu kama Mungu na chochote kile ni uwezo wa mwanadamu pekee?

Kwa wao kuwa propagandists wa sodomisation,wewe bnafsi unawaunga mkono ama unaona wanakosea?
 
Nitajie members maarufu wa Freemasons ambao ni wajenzi? Maana umesema ni chama cha wajenzi! Moja ya sign ya freemason ni two horns sign ya mkono? Je inaashiria nini? Unamjua Baffomet? Kwa nini wanamtukuza? Alama ya jicho inamaana gani? Kama ni wajenzi tu kwa nini ianzishwe imani? Na masigogi yao ya kusali? Kwanini wanatumia alama ya 666 ambayo imetajwa katika bible ni namba ya shetani? Free ideas
 
Last edited by a moderator:
 
na hawa jamaa wameenea hapa tanzania kuna makanisa mengi yamevamiwa na hawa jamaa kwa kisingizio cha dini kumbe wapotoshaji wakristo muwe makini na hawa jamaa kwani wanatoa hela nyingi kuwalaghai na pia wanatumia ushirikina kuwavuta watu makanisani utasikia eti kanisani wtu wanaabudu uchi na ukitoka unanunuliwa gari kwenye uislam ni ngumu kuingia kwani quran haibadiliki lkn bible inachange every now and then
 

Kama umesoma umesoma vizuri hapo juu,umeona sehem niliandika kwamba waliwaalika na kuwajumuisha watu wenye uwezo mkubwa kifedha na kisiasa na pia mastaa.kwa hiyo dhana ya ujenzi ikabaki pale pale lakini malengo yakawa mengi ikiwa ni pamoja na uuweka ulimwengu katika sheria na misingi inayofanana.kumbuka pia miaka imepita mingi kwa hiyo sio lazima uwapate wataalam wa ujenzi katika masonic ya sasa,lakini neno MASONIC ,linabaki kuwa pale pale maana ndo chimbiko ama asili ya jamii hii.

Two horns sign ya vidole,sio lazima imaanishe kitu kibaya,nikuulize??,isha ya msalaba kwa wale wakristo inamaana gani???,je dole gumba kwa ccm ina maana gani,hizo ni ishara za kawaida na kila moja inamaana yake,ukianza kuhoji hivo utumbie na alama ya kupeana tano na kugonga kifuani mara mbili kwa jamaika ina maana gani

Baffomet,kumwabudu ama kumtaja sio tatizo,nikuulize?, unafaham maana ya Lutherani(dhehebu)??,,unamfaham mahatma gandhi( wa india)?



Alama ya jicho,kwan alama ya msalaba kanisani inamaanisha nn??,ama mkuki katika ngao ya taifa inamaanisha nini??,mbona maswali yako mepesi hivi?


Kuhusu imani,na masinagogi,mbona kuna misikiti??,ulitaka wakutane nje??,ama mahotelini,wajenzi watakosa sehem ya kukutana??

Alama 666,sio lazima iwe imetajwa kwenye biblia.namba za mawasiliano z masonic ni nyingi,mfano 3,7,9,11 n.k,kwan nazo zipo katika biblia.hakuna namba ambayo ni shetan,na kwan shetan ni nani???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…