Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
the more i read about many things the more i realize that christianity is full of contradictions.
nikipata muda wa kutosha ntakuja kumwaga nondo zangu regarding freemasons maana naona watu wengi wametiwa uoga na maneno ya mtaani regarding this.
Ni mpu.mb.avu tuu ndiye atakaye kubali kuamini huu uongo wako........Inaelekea wewe ni mchungaji kanjanja unayetumia haka kastori chako cha kutunga kuvuna sadaka...
Unasoma bila Roho wa Mungu ndio maana haupati ufunuo sahihi.
Swali linabaki pale pale nini HASA??,Ushawahi kujiuliza kwa nn Unaabudu??,
Mbona wauliza maswali ambayo hayahusiani na hoja zangu ? Kuabudu ndo kufanyeje. Kushukuru ndiko unaita kuabudu ? Au kuabudu una maanisha nini ?
Usitishwe na habar za mitandaoni na mitaani ,namba 666,ni namba kama namba zingine,nikuulize,kwan katika Biblia namba ngapi zimetajwa??,huu ni uoga usiokuwa na maana ,.Masonic hawastahili kuogopwa namna hiyo sababi ni watu kama wewe,ila tu tofauti ya mawazo.
Je 666 ni kati ya namba wanazotumia hawa jamaa? Naomba kufahamiswa tafadhari
Mimi simuogopi mwanadamu mwenzangu ambaye akili yake,nguvu zake,uhai wake na vyote alivyo navyo vina ukomo
Pia elewa mimi nafahamu kuwa hawa jamaa ni watu kama watu wengine ila kuwa kwao watu kama wengine hakuwafanyi wasiwe waovu kwa mambo wanayoyatenda.
666,ni namba kama namba zingine,ndo mana nikasema katika Biblia namab zingine pia zimetajwa??,.lakini muhimi ni kuwa,ukiona namba 666,imetumika basi ujui inamaana yake
Nauliza tena labda hatujaelewana,ni hivi
666 ni namba au alama mojawapo inayotumika na hawa unaowazungumzia?
NDIYO AU HAPANA???????
Acha mabishano toa jibu
Namba zipo nyingi,0- zaidi ya billions,.Kutumika 666,sio sababu mbona ni namba kamazingin e??,maana hata 1,,3,7,11 n.k. ama 1,2,3,4,5,6 zinatumika??,
Angalizo: Jaribu kuacha mabishano unavyoendeleza mabishano ndiyo unajiongezea maswali ya kujibu.
Tafadhari nauliza tena 666 ni namba au alama mojawapo inayotumika na na hawa unaowazungumzia?
NDIYO AU HAPANA?
Kumbe hata hujui kuambudu na kushukuru??,nna waswas na Imani yako hiyo.kumbe inawezekana unaenda msikitini ama kanisan kwa mazoea lakini hujui unafuata nini.
Kumbe kushukuru na kuabudu kwako ni sawa??