Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
DAMN shit is dopeZogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh
Shall I coniinue....?
muite tajiri wako G amsaidie dada wa watu...Makubwa kirahisi rahisi tu milioni moja watu wa jf au [emoji16]
Mpaka aibu nimeona mimi.watu wengine wanaonaga msaada ni kitu rahisi rahis jamanii
Man u good! Big upZogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh
Shall I coniinue....?
Una uhakika??umetumia kigezo gani mkuu?kwaiyo jf nzima hamna ambae anamiliki kiasi iko mkuuAfu kwa uhakika kabisa humu Jf hakuna MTU anaemiriki A/c yenye hata mil 30 hayupo narudia tena hayupooooooooooooooooo
Ushauri, hizo 6500 cheza buku, utaona nguvu ya huku.
Kwani buku ni pesa ? Sibebagi buku kwangu ni kuanzia noti nyekundunyekundu na dola tuNyie ndio watu ambao hata buku hamna mifukoni!!....it is so funny
Kuna kitu kingine tofauti na hela kinatafutwa...chezea wanawake wee!JF upate Milioni 25 kirahisi rahisi tu..... Uandishi wako tu umekaa Kisanii sanii
Hiyo ni kesi ya madai wala sio jinai...huwezi kufungwa ila utafilisiwa na mahakama...kama ulikuwa ni sole proprietor...lakini naona hapo kama unaweka kamtego fulani ka kuwanasa wakware..Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Such a poor IQKuna kitu kingine tofauti na hela kinatafutwa...chezea wanawake wee!
Haya mkuuKwani buku ni pesa ? Sibebagi buku kwangu ni kuanzia noti nyekundunyekundu na dola tu
Nani sasa, mimi niliyekubaini au wewe mwenye akili fupi kiasi cha kufikiri kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya deal na mtu mjinga mwenye mawazo ya kujiua?Such a poor IQ
Exactly. Hana lolote zaidi ya kuwa kategesha kalio njiapandaHiyo ni kesi ya madai wala sio jinai...huwezi kufungwa ila utafilisiwa na mahakama...kama ulikuwa ni sole proprietor...lakini naona hapo kama unaweka kamtego fulani ka kuwanasa wakware..
Ametokelezea ova kidosiMan u good! Big up
Mmmmmmhhh!!!Afu kwa uhakika kabisa humu Jf hakuna MTU anaemiriki A/c yenye hata mil 30 hayupo narudia tena hayupooooooooooooooooo
Ushauri, hizo 6500 cheza buku, utaona nguvu ya huku.