Niguse Hapa !!

Mj1 umemuelewa Fidel80 anaposema inabidi jamaa awe mtundu na matundu? kwa kifupi anashawishi mjaribu na hilo tundu jingine kama bado hamjafanya hivyo.. LOFL.... Nadhani pia na wewe unasababisha huko kuadhibiwa kwani kama ungemsaidia mwenzako kuufahamu mwili wako usingeteseka. Pia hata wewe mwenyewe unatakiwa kuchukua muda kuusoma mwili wako unaweza kuanza tu kwa kuvua nguo zote kisha ukawa unajiangalia kwenye kioo in time jaribu utundu wa kujichezea sehemu mbalimbali za mwili wako utaipata tu sehemu yako ya miujiza. Umenifanya nipate interest ya kujua maisha yako ya ngono kwani mtu kutokufahamu sehemu yake ya miujiza ni suala linalohitaji kuangaliwa kwa kina kidogo..Vipi nikuulize maswali mawili matatu ya maisha yako ya ngono?

..... Ishia hapo hapo maana hutapata kitu mheshimiwa. Ila ntachukua ushauri wako wa kujichunguza kwanza. Mh huo wa tundu jingine ah hilo la kawaida tu sipatii ndo ntapatia huko kwingine??
 
kwi kwi kwi kwi kwi!!!!! ndio mifumo dume hiyo wanaogopa kusema mtawauliza wamepata wapi uzoefu na kuconclude kuwa malaya hatakama ni kweli

hivi niogope kumwambia mr wangu fanya hichi fanya kile, nishike hapa au pale? nalala na kuamka nae nishindwe kufurahia mapenzi kisa unashindwa/ogopa kumwambia, sasa ucpomwambia yeye uliemzoea utamwambia nani? mie ahhh nipo free sana kumwambia lolote kama yeye alivyo free kuniambia.
 
Hata siku akisema leo tujaribu ule mtandao upendwao.....wa Express Yourself!! longa longa tu?
 
..... Ishia hapo hapo maana hutapata kitu mheshimiwa.QUOTE]

Nadhani haukunielewa vizuri, nilichotaka kupata ni majibu tu na si zaidi ya hapo. Labda nikujuze kuwa suala la binadamu kufurahia ngono lina sehemu kuu mbili
a/ physical, hii inahusisha maumbile mfano viungo vya ngono kuwa katika hali nzuri
b/ psychological hii inauhusisha utayari wa akili za mhusika.

Kwa kusoma maelezo yako ni wazi kuwa sehemu ya kwanza hauna shida kabisa, tatizo sehemu ya pili ambayo ndio nadhani haipo sawa. Kwanza kwa ukali wa jibu lako ni dhahiri una mtazamo hasi juu ya ngono( jinsi jibu lako lilivyo protective) hii inakusababisha usiweze kufurahia tendo lenyewe. Kuna sababu nyingi lakini kwa wanawake wa ki Tz ambao nimekwisha wasaidia hii husababishwa na
1./ Malezi ya mila au dini - Ngono ni kitendo kiovu inabidi kipigwe vita, wengine wanakuwa na huu mtazamo hadi uzeeni.
2./ Wasiwasi hasa wa kumridhisha mwanaume, kwani kuna mtazamo wa kuwa kitendo hicho ni haki kwa mwanaume na wajibu kwa mwanamke kumtimizia haki hiyo mwanaume(ukiongeza na sababu ya hapo juu hali inakuwa mbaya zaidi)
3./ Uchovu,kutokuwa na utulivu wa akili na mikiki ya maisha.
4./ Bad experiences kama kubakwa, hii ni tatizo kubwa sana, wengi wa wanawake niliowahi kuwasaidia walianza kubakwa na wapenzi wao wa kwanza. Hii ni kwa sababu mifumo ya maisha haiwapi nafasi wasichana wa ki Tz kujadili na wanaume zao juu ya kufanya ngono, pili kuna kajisifa kakijinga kwa wanaume wa ki Tz kutoa bikra hivyo wavulana wengi huwa tayari ku fanya lolote hata kwa wapenzi wao ilimradi wapate kijisifa hiki cha kijinga.

NB: Samahani MJ1 wakati mwingine sisi tunaosoma kuhusu watu huwa tunashindwa kujizuia tunapopata interesting case. Niwie radhi its not personal
 
Pole Burn nilivyojibu nimejibu katika hali ya utani na sikuwa namaanisha kukukataza kuuliza bali reading between line ni wazi kuwa utagundua mengi kutokana na sentence hiyo which you did. Ninaelewa all that ya kuwa over protective na nini but believe me am ok I doubt if I have ever find the man of my heart. Yaani kuwa na mtu ambaye kiukweli nimempenda au amenipenda. Am too sensitive when it comes to love. Hii najua imetokana na experience ya zamani (believe sio kubakwa) so wanaume wote ninawaona wako sawa and inatubidi tuishi nao kwa kuwa tu tunatakiwa kuishi hivyo.

So hali yangu nawezaihusisha na sababu ya pili kwa maana ya kuwa mapenzi (including tendo ) nalichukulia kama wajibu kama mwanamke mwenye mume/boyfriend na si starehe kwa upande wangu.

Unawezanisaidia katika hili inawezekana kabisa kuwa sitaki kukubali kuwa hakuna kitu kinachoitwa usawa katika mahusiano kwa maana ya kwamba ninavyokupenda mimi nataka nawe unipende vivyo hivyo na kwamba siku nikiwa na hali ya kutojisikia basi unielewe. Huwa naumizwa sana na hali ya kushindwa kulink psychological state ya mtu na matakwa ya ngono utakuja jitu limekukera mchana kutwa afu likija jioni linategemea uligaie as if nothing happened, no sorry no what. Hivi kwa kweli vinaniput off kabisa.
 
Asante kumbe tupo ukurasa mmoja. Mwanamke mmoja anaitwa Dr Laura Berman anaongelea hali kama hiyo kwa maneno yafuatayo'' The brain is main sexual organ and sex is about intimacy, sharing,trust and making yourself vulnarable to other person''. Kitu ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba tatizo lako lipo mikononi mwako na unaweza kulitatua ukitaka, jinsi unavyoonekana ni mwanamke mwenye uwezo wa kuamua kuhusu maisha yako binafsi nadhani unahitaji kujiamini tu. Pia kama kuna tatizo lolote lililotokea kwenye uhusiano wako hapo awali usilijaribu kulizika ila tafuta mtu mwenye uelewa wa masuala ya mahusiano na psychology mlijadili na pengine atakusaidia kuona maisha kwa dirisha lingine.
 
Hata siku akisema leo tujaribu ule mtandao upendwao.....wa Express Yourself!! longa longa tu?

ote mbee, ote kabisa! hivi anaanzaje kuniambia jamani? mungu apishilie mbali mana inaweza ikawa ndio mwisho wa safari.
 
hivi niogope kumwambia mr wangu fanya hichi fanya kile, nishike hapa au pale? nalala na kuamka nae nishindwe kufurahia mapenzi kisa unashindwa/ogopa kumwambia, sasa ucpomwambia yeye uliemzoea utamwambia nani? mie ahhh nipo free sana kumwambia lolote kama yeye alivyo free kuniambia.

Nyamayao Nyamayao jaribu umwambie akushike kwenye tiGo kama hajakuacha na kukupiga talaka 3 hapo hapo.
jaribu tiGo nayo labda iwa anatumia pembeni muulize huu mlango wa dharula baba unataka nao tujaribu???si mmezoeana.
 
ote mbee, ote kabisa! hivi anaanzaje kuniambia jamani? mungu apishilie mbali mana inaweza ikawa ndio mwisho wa safari.

Lakini na wewe si unahaki ya kuuliza unaweza muuliza labda yeye anataka anashindwa kukukwambia anaona aibu....
 
Nyamayao Nyamayao jaribu umwambie akushike kwenye tiGo kama hajakuacha na kukupiga talaka 3 hapo hapo.
jaribu tiGo nayo labda iwa anatumia pembeni muulize huu mlango wa dharula baba unataka nao tujaribu???si mmezoeana.

mazoea hayo ya kuchezeana huko ndiyo ambayo siwezi kuyafikia, kama anajaribu huko nje its ok but sio kwangu.
 
zipi hizo kwa uzoefu wako inaonyesha unazijua hebu zitapike hapa
Mbona simple tu mtu wangu!We mtafute msichana unayem-feel halafu muachie mwili wako auchezee;halafu utajua ni sehemu gani kwako ambayo ni sensitive unapopapaswa.
Na hii ni tofauti kati ya mtu na mtu;halafu ukisha fanya experiment ni PM
 
Fide inaelekea hii kampuni inakulipa ghali sana! Maana advert unazozifanya sipati picha,,,,, haa haaaaaaaaaaaa T*gO express yourself!
 
Hahahahahaha mkuu umeniacha hoi sana....
huko acha bana ghali sana huko
 
Back
Top Bottom