MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
ngonongono tu kila wakati, hata mambo ya maana hamuwazi
He! Mwana wa ....... utakua umekosea njia umeingia kwa mataifa hapa. Pole
ngonongono tu kila wakati, hata mambo ya maana hamuwazi
He! Mwana wa ....... utakua umekosea njia umeingia kwa mataifa hapa. Pole
Mi nikigusa tiGo nasisimka mtaniwia radhi msio penda. Hata nikipapasa tu dah raaaaaaaaaaaaaaaaaaha
Hata siku akisema leo tujaribu ule mtandao upendwao.....wa Express Yourself!! longa longa tu?
Mh! sema vizuri ukigusa au ukiguswa
Joy sasa unapitiliza sasa upo Mombasa nini?
Mi natumia saaaaaaaaaaaaana TG
Mkulu hiyo imetulia.Licha ya kukosea njia ametenda dhambi vile vile inabidi atubu.
unapenda extreem, mwanume anayekupenda hawezi kujaribu huo mtandao
AstakafululahMh! sema vizuri ukigusa au ukiguswa
ngonongono tu kila wakati, hata mambo ya maana hamuwazi
Kemea NA WASHINDWE KWA JINA LA..................................
C unaona wameshindwa na wamelegea,,,,,, no more ngono today
teh teh teh naamini wangekemea kweli wewe usingekuwepo duniani umepatikana hapa duniani kwa mijadala kama hii hii ndipo wazazi wako wakaridhiana wewe ukawepo na unadunda na Yesu...Ameeeeen
Suali : Je sehemu hiyo huwa anaijua natural au baada ya kuingia kwenye ngoma na kuicheza au hula zoezi la nguvu ndio anaitambua hiyo sehemu husika?Yeah kila mwanamke ana sehemu ambayo ukimgusa anajisikia raha bila kwenda huko mbali. Hivyo inategemea. Kama ilivyo kwenu wanaume.
Licha ya kukosea njia ametenda dhambi vile vile inabidi atubu.
ngonongono tu kila wakati, hata mambo ya maana hamuwazi