Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,301
Ndoto ni njia ya ubongo wetu ya kupanga matukio ya siku, kumbukumbu, na picha kuwa hadithi za wazi, za mfano, na zisizo na maana.” jinamizi(nightmares) ni "ndoto ambazo mara nyingi huunganishwa na wasiwasi ambao haujatatuliwa na kiwewe ambacho ubongo wetu haujashughulikia kikamilifu."Hilo ni neno la kingereza mixer na kijaluo
Night = usiku
Mare = wake/yake/chake
Kwahiyo likiunganishwa neno zima ni nightmare kwa tafasiri ya kiswahili ni usikuwake.
Sasa hapo mkuu, kwanini usipate mapicha picha mixer unapoleta uzi mida wa wanga...[emoji848]
Aaaaaa sawaaHilo ni neno la kingereza mixer na kijaluo
Night = usiku
Mare = wake/yake/chake
Kwahiyo likiunganishwa neno zima ni nightmare kwa tafasiri ya kiswahili ni usikuwake.
Sasa hapo mkuu, kwanini usipate mapicha picha mixer unapoleta uzi mida wa wanga...🤔
OooohooooNi ndoto ambayo inakuwa unahisi kukabwa au km unashikiliwa na kitu mwilini mzima kama ume paralyse unashidwa kuongea ni ndoto ambayo mtu akiota lazima ashtuke kiufupi
Ndio maana ninaogopa kulala chaliiNi jinamizi ama majinamizi. Jinamizi ni kiumberoho kinachojengewa sura ya kutisha na kukutokea ukiwa umelala. Lakini kiuhalisia hakuna kiumbe kama hicho bali ni mambo ambalo huumbwa na mhusika kwa muktadha binafsi kutokana na hofu mbalimbali zinazomkabili katika harakati za maisha.
Ama kulala vibaya na kuzuia hewa kupita vizuri kooni, kulala chali na kulifanya jicho la tatu kuona vitu mbalimbali vya kutisha ama kushiba sana. Vilevile kuna majinamizi kutokana na mambo ya kishirikina.
Aaaa ahsante kwa elimuNdoto ni njia ya ubongo wetu ya kupanga matukio ya siku, kumbukumbu, na picha kuwa hadithi za wazi, za mfano, na zisizo na maana.” jinamizi(nightmares) ni "ndoto ambazo mara nyingi huunganishwa na wasiwasi ambao haujatatuliwa na kiwewe ambacho ubongo wetu haujashughulikia kikamilifu."
Haishauriwi kulala chali maana juu yetu vinapita vingi visivyoonekanaNdio maana ninaogopa kulala chalii
Aaaa ahsante kwa elimu
Check PM yakoMshana naomba tuwasiliane