Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but love.

Tags: featured, Love, Marriage, Nigerian man marries European woman, Nigerians

Ni sawa, kama mama ana ankara, endelea kujishikiza
 
Wazungu wengine wanachukua waafrika wakienda ulaya wenzao wanalipa kwenda kumuona mtu mweusi, angalia sana haya maamuzi
 
wabongo wanakimbilia vibabu kuna kautofauti kumbe kat yetu na wao.
 
They say love z blind,and I,do thnk is a deaf too and it can mak u dumber...
But pia Kimaslahi zaid apart from Malouuveeeeeee
 
Hahahaaa, hivi vibibi na mapengo yao/ukibogoyo vinanyonya acha bana.

Jamaaa anafaidi si mchezo. My broda, i'm gonna work hard ohh!!!!
Duh mbona kibibi chenyewe kimekaa ka kigagula halafu kijana yuko kimaslahi zaidi hapo hakuna chembe ya penzi.

Mwanamke anaolewa kwa sababu;
1. Uzuri wake. (Kipusa kwa sura au maumbile)
2. Mali yake. (Ana mali zake nyingi za kuchuma mwenyewe au za kurithi)
3. Nasabu yake. (Mtoto wa Rais au wa Mfalme au wa Waziri au wa tajiri n.k.)
4. Dini yake. (Mchamungu)
Sijui jamaa kavutiwa na nini kati ya hivyo au nje ya hivyo!
 
he he he eh eh da huyu jamaa yupo kibiashara zaidi aisee hamna love hapo....inaonekana huyo bibi ana account iliyoshiba vizuri
 
fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! (fyonzo la kinaijeria).

Haya ndio mambo wasiyoyataka Boko Haram.

Boko Haram roughly means = alien brain washing prohibited. (mambo ya kizungu haramu).
Zomba hii ni mara ya kwanza nakugongea "like". Hapa umenena, pointi unayo!
 
raha ya ndoa ni watoto... sasa hapa vipi? hata kwa adoption mama atakufa kabla ya graduation!

Mkuu, watoto ni zawadi kutoka kwa mola. Unaweza pia kuoa mwana mama kijana kabisa lakini usipate hiyo zawadi ya mtoto. Pamoja na hayo, hyo bibie anaweza kuwa na udugu na marehen ghadafi
 
Dogo anaonekana mtu wa ganja sana. Huenda amefanya uamuzi baada ya kulipuliza sana''
 
Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but love.

Tags: featured, Love, Marriage, Nigerian man marries European woman, Nigerians
ongeeni 2 hizo ni kelele za chura kama ng'ombe ana kiu maji atakunya... wanzenu ndo hao walishashine kila mmoja kapata wa kuliwaza mwenzio.
hapa probability ya talaka inaelekea kuwa zero coz bibi alishamaliza umri wa kawaida wa binadamu kuishi (miaka 70)
hapo anapiga ziada iliyobakia miaka 4 au 5 basi..!
 
Back
Top Bottom