Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but love.

Tags: featured, Love, Marriage, Nigerian man marries European woman, Nigerians
njaa mbaya jamani.......
 
Kuna tofauti gani na hii
Jamani katika wadada walio na mafanikio, huyu shoga yangu ana mafanikio makubwa. Hana majivuno wala kujishaua kama wengine. Hongera sana mami kwa kuulamba na Mr. Ralph. Kili nakupenda sana mama, ningekuwa dume, yaani ralph asingekupata. Nina wivu wa maendeleo...

IMG_0525.jpg

killy.jpg

jane.JPG
 
Mwanamke anaolewa kwa sababu;
1. Uzuri wake. (Kipusa kwa sura au maumbile)
2. Mali yake. (Ana mali zake nyingi za kuchuma mwenyewe au za kurithi)
3. Nasabu yake. (Mtoto wa Rais au wa Mfalme au wa Waziri au wa tajiri n.k.)
4. Dini yake. (Mchamungu)
Sijui jamaa kavutiwa na nini kati ya hivyo au nje ya hivyo!

1. Uzuri wake unaweza kuwa wa roho nzuri.
3. Hapo umekosea. Jaribu tena.
 
kama ni makaratasi,nchi nyingi za Europe wamebadilisha sheria zao za uhamiaji.Nilazima uhusiano wenu hudumu si chini ya miaka mitano ndio utaweza kupata makaratasi ya kudumu...hapo nilazima amalize viagra zote pharmacy
 
Si rahisi kupata visa na hasa kwa hiyo gape ya miaka yao. Aliwahi kutokezea bibi wa miaka 70 kama huyo kutoka UK kufunga ndoa na mgambia mwenye miaka 27. Magazeti yaliandika nakuandika kwamba haiwezekani kupewa visa. Bibi alisusiana na na wanawe na wajukuu kwa penzi... Kuna wa Algeria wengi tu wametumilia njia hii sasa hivi wameanza kuwekewa vikwazo. Kama vile waturuki na Wafrika wengine. Yote hii ni ukosefu wa maarifa na kudumazwa na serikali zetu. Tukiwa afrika tunakuwa hatujuwi vipi wanatuchukulia hawa watu kwa hiyo tunajifanyia mambo kama hayo y akipumbavu.... Ndoa gani ya mtu na mjukuu wake? Huyu wala si toyboy ni kitoyboy
 
raha ya ndoa ni watoto... sasa hapa vipi? hata kwa adoption mama atakufa kabla ya graduation!

utakufa wewe yeye utamwacha anadunda usicheze na Mungu wewe!! watu wamezaa na 20yrs na hawajaona hata watoto wao wakigraduate standard seven!!!
 
Mhmmm!! hata mimi nina wasi wasi hiyo marriage itakuwa for other reasons maana huyo kijana ni mdogo kwa huyo mama kiasi cha kuitwa mjuu wake
 
Chinekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.................!!! Hata kama ni njaa hii ya mwenzetu imezidi
 
Back
Top Bottom