Nigeria: Kiongozi Mkuu wa Taasisi ya kupinga rushwa asimamishwa kazi kwa tuhuma za ufisadi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu, amemsimaisha kazi Mkuu wa Tume ya Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha (EFCC), Abdulrasheed Bawa, ili kupisha uchunguzi wa kashfa za matumizi mabaya ya madaraka zinazomkabili.

Afisa huyo mwenye umri wa 43 amekuwa akikabiliwa na tuhuma za ufisadi tangu alipoteuliwa kuwa mwenyekiti wa EFCC mnamo 2021, jambo ambalo amekanusha.

Transparency International imeiweka Nigeria katika nafasi ya 150 kati ya Nchi 180 zinazopambana na Rushwa kwa Vitendo.
 
Back
Top Bottom