Nifurahi au Nisikitike?

Mwendawazimu2

Member
Nov 29, 2010
54
5
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
 
Nadhani majibu atakayokupa mke wako..., ndipo utakapojua either ufurahi au usikitike...
 
Sio jambo la kufurahi ama kusikitika bali ni kujiuliza kwanza, umeoa una mke hamjabaatika kupata mtoto je mmeishaenda kucheki tatizo ni nini? Na kama bado unasuburi nini na unaamini vip kuwa hiyo nyumba ndogo yako ujauzito ilionao ni wa kwako? Tuweke wazi tuweze kutoa ushauri wetu
 
Tulishapima katika hospitali kadhaa, hakuna tatizo lililothibitishwa. Siwezi kusema hakuna mwenye tatizo kutokana na majibu hayo, kwani najua uwezo mdogo vipimo katika haspitali zetu nyingi...
 
Jaribu kwenda ktk hospitali kumbwa ambazo zinaaminika uone utapewa majibu gani na usiamini maneno unayoabiwa na nyumba ndogo yako kuwa hiyo mimba ya kwako kwa asilimia kubwa na kuwamakin usije vunja ndoa yako na baadae kujutia
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?

Mkuu mbona unakuwa mwepesi wa kuamini vitu vyenye kutia shaka kiasi hicho? Nadhani bado una mentality za kuwa wanawake ndio pekee wenye matatizo ya uzazi na umeshajiakikishia kuwa wewe ni kidume kwa "kuambiwa" hiyo mimba ni yako
 
Una muda gani toka uoe? maana wanawake wengine kizazi kinakuwa mbali lakini si kama hazai. Ulipokwenda nje ya ndoa lengo lako lilikuwa nini hasa? ufuska au kutafuta mtoto? umeshapata ulichokuwa unakitafuta halafu unatuuliza? mbona majibu yamekimbia! naomba umuulize mke wako jibu lake litakuwa sahihi. Na hilo jina lako na ulichokifanya vinafanana. Ullikosa subira tu, pata picha huyo mzinzi mwenzako akijifungua tu na unagundua mkeo ana mimba, hivi utajisikiaje?
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
Kama hukumshirikisha mkeo wa ndoa katika maamuzi yako ujue umelikoroga. Ni bora unyamaze kimya hata kama nyumba ndogo unampenda sana.
 
Una hakika na huyo mtoto mtarajiwa au umeuziwa mbuzi kwenye gunia?Hata hivyo subiri mtanange wa bi. mkubwa hapo home kwako.
 
Sikitika sababu unapooa sio kwamba unaoa ili uzae bali uishi na mpenzi wako mpaka mwisho wa maisha yenu, Unapozaa nje kwanza unakuwa umevunja agano na Mungu pi na mwenza wako, kumbuka uliapa mbele za mwenyezi Mungu mtavumiliana kwa shida na raha iweje leo unaenda kuzaa na msichana mwingine? unajuaje kama hajakuchakachua labda ni wewe mwenye matatizo? Unajuaje kwamba wewe sio mwanzo wa matatizo kwamba mkeo hapati ujauzito?
Maana wababa wakishakuwa na vimada wanajikuta wanafanya mapenzi na wake zao mara moja kwa mwezi, unajuaje kwamba huo ndio muda wake wa kupata ujauzito?Kwa kweli sikitika sababu ulichofanya sio halali kabisa......
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?

..........dah, hiyo ID yako tu inanifanya nishindwe kuendelea kusema zaidi ...........
 
Kwan wakati unamchakachua huyo nyumba ndogo ulikuwa unasikia furaha ama huzuni! Jibu utakalopata tendea kazi!
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?

Straight answer... Sikitika..tamaa yako, ubinafsi wako, na usaliti ndio vimekuongoza kuzaa nje.. Usijipe moyo ndugu yangu..sasa mlikubaliana nini ya kwamba mtakuwa pamoja kwenye dhiki na faraja.. wakati wewe unajifanya kufurahi kupata mtoto unataka yule uliyejifanya unampenda awe amenuna?? Si ulisema unampenda? Mtoto ni matokeo na kuna njia nyingi za kumpata mtoto...

Je una uhakika gani huyo mtoto wa nyumba ndogo ni wako? Labda wewe ndio una matatizo na umebambikiwa kwa sababu ni mtambo wa kipato kwa nyumba ndogo.. Pole sana rafiki..kwani moyo na dhamira itakusuta katika maisha yako yote yaliyobaki...
 
Though hujawa mwaminifu katika ndoa yako na umehatarisha maisha ya mwenza wako kwa kwenda bila ndomu.
But kama ulikuwa unataka mtoto hongera furahi hata kama umeuziwa kwenye gunia ili mradi umepewa ni wako.
Mtoto ni mtoto na anahaki ya kulelewa na baba na mama hata kama cwamkeo wa ndoa.
Na huyo mzazi mwenzio alijua una mke?
Au ulimdanganya ? Hilo ni zigo lako unalo na ulikabili mweleze mkeo mtoto anahaki ya kukubalika si kukataliwa!
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?

wewe mwendawazimu, haya malumbano umeyataka mwenyewe,
kwa kuileta hoja hii hapa jukwaani!
haya mambo yapo sana mtaani tu, sio kwamba ni mapya,
ila ndugu yangu ulitakiwa kuwa na subra kidogo.........

unaufahamu ule wimbo wa wateule?vijana wa TMK?

......................kimya kimya.........................
 
Kama hujapata bado ukimwi katoe sadaka kanisani na napenda nikuhakikishie kwamba hata huyo unayesema soon utaitwa baba sio wa kwako kama imeshindikana mkeo kupata mimba itakuwa kwa nymba ndogo?? kwanza kapime ukimwi halafu urudi hapa.

unafikiri hiyo nyumba ndogo iko na wewe tu??? ukiwa nyumbani kwako na mkeo yeye unafikiri anakuwa na nani??? UKIMWIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom