Nifurahi au Nisikitike?

umeshachemsha hauna jinsi furahia mtoto huku ukiwa na majibu ya kumjibu mamaaa, maana hakuna kitu kinauma kama hicho jamani, mume wangu azae na mwanamke mwingine?? anaweza kukuacha kabisa
 
nina ndugu yangu walikaa miaka 9 bila watoto Mungu akawajalia wakapata mtoto ndani ya miaka kumi ya ndoa........sijui ndoa yako ni ya umri gani..........unapooa/olewa kuna kupata watoto au la.......kumbuka pia watoto ni baraka kutoka kwa Mungu....mnatakiwa kupata vipimo nakujua tatizo liko wapi kati yenu............kuhusu mtoto unayemsubiri atahitaji ushiriki wakoo wa karibu katika kumlea..... kujua wako au sio wako wajua wenyewe....utahitaji kumshirikisha mkeo mapema ndipo utakapojua utafurahi au utalia. Pole mkuu
 
Pia nina ushhuhuda kama huu, tatizo watu wana haraka na kama unampenda na kumheshimi mngeweza hata kusave mkaenda kupandikiza huko hospital tena siku hizi hata sio mbali nairobi tu hapo
 
Pia nina ushhuhuda kama huu, tatizo watu wana haraka na kama unampenda na kumheshimi mngeweza hata kusave mkaenda kupandikiza huko hospital tena siku hizi hata sio mbali nairobi tu hapo
MMh! wife siku hizi umekuwa mkunga?
 
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
just like ur ID,jina laweza kuwa baraka au laana jina la ajabu ndo maana unajaribu kujustify dhambi.wht kind of man r you? U do smthng stupit then u come out na kuuliza ufurahi au usikitike! I cant believe ths shit......!
 
Wanaume! wanaume! wanaume!....Once more tunaendeleza laana ya asili! pole kwa mkeo uliyemwahidi kusimama naye katika nyakati zote maishani ambaye km Mungu kamnusuru na virusi basi kitakachofuata ni mamnyanyaso na kusutwa! Kwa namna ulivyokua jasiri wa kufungua zipu naomba uwe jasiri namna hiyohiyo kwenda kumweleza mkeo na baada ya hapo unahitaji msamaha na counseling yakutosha ili kuinusuru ndoa yako ambayo imeshaingia doa tayari!
 
Wanaume kama hawa siwapendi kabisa katika jamii. Kuna mwanaume mmoja alioa mkewe hakupata mtoto kwa miaka 10, akamuomba mkewe aoe mke wa pili ili angalau apate mrithi, mkewe akakubali masikini mama wa watu bila kinyongo, basi mke wa pili akapata mimba akajifungu mtoto wa kiume, wakati mwanaume anafurahia mtoto, mke mkubwa naye akapata mimba kujifungua watoto mapacha wa kike na wa kiume. Basi ikawa furaha zaidi ingawa mwanaume alisikitika sana akasema kumbe mke wangu anazaa!!!!!! mtoto wa kwanza yuko darasa la tatu mwanaume bahati mbaya akafariki.

So jamani, wanawake wengine kizazi kinakuwa mbali tu, vuteni subira jamani, ni maumbile ya Mungu, sisi hatupendi kutozaa, tuvumulieni na wakati mwingine ni tatizo la mwanaume wala si mwanamke, ila siku zote inapotokea mwanamke kachelewa kuzaa au kutozaa kabisa, mwanamke ndiyo hulaumiwa as if mwanamke anajipangia kumbe watoto tunapewa na Mungu, jamani jamani wanaume ebu muogopeni Mungu, na mkeo akiwa na tatizo hilo basi mpeleke hospitali na wewe kapime huku mkimuomba Mungu kwa ushirikiano
 
U d'd wat u d'd out f despartn bt it waz wrng n w'l stay tht way. U broke a promic cld patience whn it cmz 2 mariage. F'couse abt th chld its obvious u'l b hapy b'coz thts wat u wantd, bt on th otha hand u betrayd, hurt ure wyf so badly nd 4 tht she w'l alwys feel inferior. U stained ure mariage. God help u 2 beta ths bt i promic its goin 2 b hard.
 
kwani hujui kama mie ni mkunga na nyakanga, usichakachue thread ya watu bado mapema swt
Neno nyakanga limenikumbusha somo la kiswahili darasa la saba miaka ya tisiniiii?
nakumbuka kuna mkulima mmoja alikuwa anawalalamikia kanga(ndege) kama ni nyakanga kwani siyo rahisi kuwatega.
sijachakachua hii thread bali kila msosi lazima uwe na side sauce bana.
 
Swt bana, sasa mbona kuna side sauce peke yake? weka main basi tule, yaani mpe mawazo afurahi au anune?
 
Pia nina ushhuhuda kama huu, tatizo watu wana haraka na kama unampenda na kumheshimi mngeweza hata kusave mkaenda kupandikiza huko hospital tena siku hizi hata sio mbali nairobi tu hapo

baadhi ya wanaume wanaona kutokuwa na mtoto tatizo ni mwanamke....hiyo inapelekea kutokuwa na majadiliano ya pamoja.... ni vigumu mwanaume kumweleza mke labda yeye ndio mwenye tatizo waende kwenye vipimio
 
Ngoja nikawaletee majibu yao yey na mke wake wa ndoa then mdo muone tatizo lipo wapi. Asiwadanganye huyo keshachomekewa mtoto tayari.

Narudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sasa hivi
 
Back
Top Bottom