Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

Dah! Tupo wengi, mi Mademu jamani! Ujue akili inagomaga kabisa kutomlaa Nikilaa nakua adikited nataka tena natena,saivi Kuna Tina anataka nauli laki 2 Toka mbeya...nimtoto chomboo haswa! Juzi nimetumia Hotel na demu wa Mbezi Laki 5 two days.Kusavu kunagomaa kabisa wazeee.
 
Hii kitu inacost sana hata kwangu,tatizo utakuta ktk akaunt ya simu ipo laki tano au sita na sabini,alafu mtu hasa ndugu anaomba elfu 20 au 10,sio pesa nyingi sana lakini ikizidi zinakuwa nyingi,hapo bado hujapokea sms za wagonjwa za kifamilia/ukoo.Pia Ile tabia ya kupotezea chenchi ndogo ndogo dukani au sehemu yoyote.Nimedhamilia kuacha hizo tabia huu mwaka,maana mwaka uliopita nilikaa chini nikapiga hesabu ni pesa nyingi sana ambazo zingenisogeza mahali.
 
Exactly kinachotokea mkuu.
Sasa hawa ndugu mara nyingi ni ngumu sana kuwakazia. Unakuta mtu ana shida genuine na uwezekano wa kumsaidia unao japo in a long run inakuathiri tena wewe mwenyewe!
 
nili install application inayoitwa cash book ipo playstore, hii app ilinisaidia kuweka kumbukumbu ya kila kiwango nilichokua nakitumia na kukiingiza hata ikiwa shilingi 50 sikusita kurecord, niligundua fedha nyingi inapotelea wap hapo ndipo nikaanza kujibana kwa yale matumizi yasiyo ya lazina na kingine michango isiyo na muhimu niifanya isinizoee.

shida za ndugu haziishi, binafsi nachokifanya ndugu akiniomba elfu 20,000 atakama ninayo huwa natoa 5,000 ili kupunguza zile lawama, hiko kiasi kingine atapata kwa ndugu wengine
 
nili install application inayoitwa cash book ipo playstore, hii app ilinisaidia kuweka kumbukumbu ya kila kiwango nilichokua nakitumia na kukiingiza hata ikiwa shilingi 50 sikusita kurecord, niligundua fedha nyingi inapotelea wap hapo ndipo nikaanza kujibana kwa yale matumizi yasiyo ya lazina na kingine michango isiyo na muhimu niifanya isinizoee.
Katika harakati zangu za kuhangaika na haya mambo, nami niliidownload hii app. Ngoja niitilie mkazo kuhifadhi records.
 
Back
Top Bottom