Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

City Owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,557
4,845
Ndugu wanajamii, salaam!

Naomba mnipe mbinu mbalimbali za kuwa bahili.

Kwa kweli nina-struggle sana kubania fedha zangu nazosisaka kwa juhudi kubwa.

Najitahidi kujibania mwenyewe, ila tatizo ni watu wangu wa karibu wanaponieleza changamoto zao, huwa nalazimika kusaidia panapo uwezo na nafsi hunisuta sana kama sitasaidia.

Sasa, hii nafsi inayonisuta ndiyo nataka kuidhibiti.

Nimejiridhisha kuwa changamoto haziishi, na najikuta natumia fedha nyingi kusaidia tu na inaathiri plans zangu mara kwa mara.

Hebu nipeni mbinu wapi nikaze nati na wapi nichomoe nyaya ili nijikwamue toka kwenye huu mkwamo.
Nataka kuwa mbahili kindakindaki.
 
Unachopitia wewe ndicho nachopitia mimi. Naweza kusema 80-90% ya kipato changu kinaisha kwa style hiyo ya kuboost raia.
Mipango yangu inakwama
 
Tupo wengi same here.
 
KAma una roho nyepesi kias hio, ubahili pekee utakaoweza ni kuwa na kitu ambacho kinahitaji fedha.

Kwa mfano anza ujenzi wa nyumba. Ukipata tu hela, tenga kabisa inayokutosha kuishi pamoja na dharura hadi utakapopata kias kingine.

Then chote kilichobaki nenda kaweke huko kwenue project. Mfano ununue matofali. Hata wakirud kukuomba hauna cha kuwapa na roho haikuumi
 
Ndugu wanajamii, salaam!

Naomba mnipe mbinu mbalimbali za kuwa bahili.
Kwa kweli nina-struggle sana kubania fedha zangu nazosisaka kwa juhudi kubwa.

Najitahidi kujibania mwenyewe, ila tatizo ni watu wangu wa karibu wanaponieleza changamoto zao, huwa nalazimika kusaidia panapo uwezo na nafsi hunisuta sana kama sitasaidia.

Sasa, hii nafsi inayonisuta ndiyo nataka kuidhibiti.
Nimejiridhisha kuwa changamoto haziishi, na najikuta natumia fedha nyingi kusaidia tu na inaathiri plans zangu mara kwa mara.

Hebu nipeni mbinu wapi nikaze nati na wapi nichomoe nyaya ili nijikwamue toka kwenye huu mkwamo.
Nataka kuwa mbahili kindakindaki.
Mwili wako utakuchukia
 
Back
Top Bottom