Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,367
- 10,396
Kabisa jamaa anatumia id nyingi bila kificho au pengine anajaribu kuficha ila kutokana na bhangi anazovuta zinampagawisha anajikuta anashindwa hata namna ya kuficha😃😄😁Nadhani alibashiri na mkeka haukuchanika.
Anijijibu mwenyewe, yaani anajitekenya na kuangua kicheko.Kabisa jamaa anatumia id nyingi bila kificho au pengine anajaribu kuficha ila kutokana na bhangi anazovuta zinampagawisha anajikuta anashindwa hata namna ya kuficha😃😄😁
Aisee ni kivutio kikubwa JF😀😀Anijijibu mwenyewe, yaani anajitekenya na kuangua kicheko.
Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
View attachment 3522381
adriz de mbusii
Haeleweki mara awe mtu wa Shia mara aseme amebadili dini yaani vurugu tu
😅😅mtu na ndevu zakeDume Zima kama choko , sasa mada gani hizi za kuandika jitu zima halafu unajiita mwanaume?
Hakuna mkate mgumu ndani ya chaiNchi ngumu sana hii.
Bangi zimemtawala sana Kwa hakika.Haeleweki mara awe mtu wa Shia mara aseme amebadili dini yaani vurugu tu
tutafika tumechoka kama taifa.Hakuna mkate mgumu ndani ya chai
Wewe Busu la Kenge inaonekana huyonndo star wako unayetamani ulale nae si ndioNi habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
View attachment 3522381
adriz de mbusii