Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Dunia ina watu b6, sasa wewe huyo1 anakusumbua? Ulaya mchezo? We njoo tu ila kugegedwa mmh kwa upweke na life style kunaeza tokea km alivyosema bwana mmoja hapo juu. Hizi njemba za west africa zinapenda sana east african ladies, wananikerajeee
Aagh nimepata wazo, akupe mimba tu--ukiwa kitumbo ndiiii hakuna wa kukugusa
Ukishindwa kbs tumia hii research ya pm wetu "Liwalo NA LIWE" (Pinda, 2012 Unpublished)
Aagh nimepata wazo, akupe mimba tu--ukiwa kitumbo ndiiii hakuna wa kukugusa
Ukishindwa kbs tumia hii research ya pm wetu "Liwalo NA LIWE" (Pinda, 2012 Unpublished)