abellafaith
Member
- Nov 29, 2010
- 36
- 14
Yaani dada huna haja yakuongea. Muonyeshe hii thread asome. Akimaliza kusoma akupe maamuzi yake.
Ndugu hiyo ni chance ya pekee sana wala usithubutu kuiacha eti kisa NDOA kwani hutaipata tena na wala haitatokea tena huyo mchumba wako ana wivu hataki wewe uendelee kimasomo hataki maendeleo ya wanawake huyo anataka kukatisha nuru iliyoingia kwako, cha kufanya wewe ongea na watu wazima wamshauri ili mpange tarehe ya harusi mbele pindi ukitoka kwenye hayo masomo
Nadhani mwanaume amekua moga kidogo kutokana na tabia ya wa dada wengi wakishasafiri hubadilika na mara nyengine hukutana na wanaume huko2 nje na kuwadanganya kwamba watawatafua visa na nini na mambo kibao na kuwaacha wapenzi wao wa zamani.. Hiyo issue inabidi muiongelee kifamilia na umuhakikishie mchumba wako kwamba hauta msaliti wala haudanganyikkki. Bilashaka atakuelewa! shule ni muhimu na ndoa ni muhimu pia. Pole kwa changamoto...
Huyo mchumba wako hapendi uende nadhani kwa sababu zake za msingi, na ni kipimo cha kuangalia unampenda kiasi cha kusacrificre nn kwa ajili yake.
Wengi watakushauri elimu ni bora kuliko ndoa, lkn elimu haitunzi mume na elimu inapatikana muda wowote, tofauti na mume kama huyo kaka uliyempenda sasa na ukakubali akuoe.
Ipi "golden chance" kati ya kuolewa na mtu ambaye hujaona mfano wake na kwenda nje?
Nje unaweza enda muda wowote, scholarship zipo kila leo.
Fikiri na kuomba sana kabla hujaamua.
Umeongea ukweli mtupu mkuu. "Distance" ni adui mkubwa wa mahusiano, inahitajika mapenzi ya kweli wala sio ya kubahatisha au kujaribu..Hata wakaka wengi nao hubadirika na kuwasaliti wapenzi wao, kwa pande zote watu wamekuwa waongo na wasaliti kupindukia. Am speeking from experience boyfriend wangu nilimwacha nikaenda kusoma niliporudi nyumbani rikizo nikakuta ana mtu mwingine tayari na hakuwahi kuniambia chochote kwani tulikuwa tunawasiliana kama kawaida. nakubaliana nawe kuwa shule na ndoa vyote ni muhimu wakaechini waongee ili kila mmoja awe huru kufanya uamuzi sahihi.