Nataka nlione hilo tangazo la lodge
ndo nagundua sasahv kuwa nilikurupuka it is not my flavor
Kuna features ulikuwa nazo kabla ya kuoa ambazo mke/mademu walizipenda ila kwa ss umepoteza...solution ni kuwa muulize mkeo au hao mademu hili swali jibu watakalo kupa litakisaidia kuludi kuwa sirluta wa zaman kipenz cha mademuId el hajj wanajukwaa.
Baada ya salam, niende moja kwa moja kwenye mada kuwa nifanyeje nipendwe kama zamani maana naona kuoa imekuwa namna ya kukosa upendo kwa mke sababu ya mazoea, mademu wengi ukiwatongoza wanasema tunamwogopa mkeo japo siyo tishio, yaani hata uhuru wenyewe wa kutongoza sina nikiwaza hilo jibu, hata sound zimeshapotea!
Yaani love imepotea kama pesa za Magufuli mtaani. Au nitimue mke nirudi ujanani? No love at all. Kweli mke mmoja anadumaza akili! Kuna kipindi nikiwa wa umri fulani nilikuwa nashabikia sana ndoa za mkataba kama mwaka au miaka miwili, ila wakati wa kuoa hilo wazo sikulikumbuka naona linanirudia kwa kasi na kuona umuhimu wa ndoa za mkataba. Namiss ladha tofauti za mautamu toka kwa mademu tofauti. Mautamu simaanishi tu sex, i mean hata ule uhuru wa kuchat, jokes, kukutana sehemu na ku share hata stories. Hivi ndoa ni jela ee? Nafikiria kumkimbia mke ama nimtimue tukutane fainali uzeeni.
Hivi ni vipindi tu,vinatokea ktk maisha ya ndoa.hata nikioa 5 bado shida yangu ni kukosa uhuru. Moyo wangu utafurahia ku date na wanawake tofauti tofauti hata kama siyo ku sex nao hata kampani tu is enough
Huu udhaifu wa wanawake unakuaga wapi?Pamoja na utapeli wao bado nadhani wanatumiwa sana na watu hususan wanawake wanaotafuta dawa za mapenzi.
Daima mwanamke atakuwa kiumbe dhaifu tu.
Ndio maana nikasema wee bado una akili za kitoto, yaani unataka umwache mkeo ndani ukafanye yako tena ucku, umezoea kurudi usiku wa manane na hata kulala hukohuko sasa umeoa na bado unataka uendelee kulala nnje?ndoa ininyime uhuru kiasi cha kushindwa kwenda kushare story na fans wengine nikitaka kutoka naambiwa twende wote wakati unakuta moyo wangu unataka hata nikakae na mwajuma nipige nae story tu?
Huu udhaifu wa wanawake unakuaga wapi?
Mbona mnaishiaga kusema mwanamke ni kiumbe dhaifu bila kutoa sababu.
Tuambie leo udhaifu wetu ni upi?
ni kweli nilikurupuka kuoa ndo maana nataka uhuruNdio maana nikasema wee bado una akili za kitoto, yaani unataka umwache mkeo ndani ukafanye yako tena ucku, umezoea kurudi usiku wa manane na hata kulala hukohuko sasa umeoa na bado unataka uendelee kulala nnje?
Wee umeoa kufata mkumbo sio mapenz yako kutoka miyoni
Hahahah....akienda mahakamani mbona hawataangalia kuwa mungu atakasirika.ajihudumie mwenyewe. Talaka akaitafute tu ila sitaitoa maana Mungu atakasirika.
tatizo kubwa ni kutii masharti ya kuishi kwenye ndoa. Kuulizwa ulizwa maswali na kukosa uhuru wa kujiamulia.Kuna features ulikuwa nazo kabla ya kuoa ambazo mke/mademu walizipenda ila kwa ss umepoteza...solution ni kuwa muulize mkeo au hao mademu hili swali jibu watakalo kupa litakisaidia kuludi kuwa sirluta wa zaman kipenz cha mademu
Sorry ya nini?ok am sory
hilo andiko naliogopa ndo maana sitaki kutoa talaka bali kila mtu akae kona yake tukutane fainali.Usimwache mke wa ujana wako kumbuka mwanzo mlivyokua uhuru gan unaoutaka wewe? Kuna laana ya mke sijui unajua muache uone dunia chungu ukiludi kumwangukia inakua too late
Woooii..Hivi hata mkiambiwa kuhusu huo udhaifu wenu, akili za kuelewa mnachoambiwa mnazo?
Men and women are wired very differently. Period, end of sentence.