Nifanyeje nipendwe kama zamani?.

Nifanyeje nipendwe kama zamani?.

Hyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
 
hao wanawake ndo hutapeliwa vizuri ndo wanaishiwa kuchezewa na kuachwa

Halafu hata hawajifunzi.

Na kama kweli yale mambo ya kuweka sijui vinyama ukeni ni ya kweli, basi tena hata msaada wa kuwapa hakuna.
 
Hyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
halafu mke anaringa ana mume ndani kumbe mtu anamuombea hata afe
 
Huu ndio utu uzima sasa.
Huku ndiko kukua sasa.
Hapa ndipo panapo anza na ukomavu.
Huu wakati ndio wa kutofautisha pumba na mchele, marafiki wema na wabaya, mema na mabaya.
Huu ndio wakati wa kua karibu na mkeo.
Huu ndio wakati wa mwanamume kuwa committed na familia yake (mkewe).
Huu ndio wakati wa wewe kuchanganua na kuona tofauti ya huba na mahaba.
Haupaswi kujuta mkuu,
Wala haupaswi kuomba ushauri hapa.
Ukisikia kila jambo na wakati wake, ndio kama hivi.
Huu pia ni wakati wa jambo hili kutimilika.

Nihayo tu kwa leo.
[emoji124] [emoji124]
 
Acha tu Miss kanisikitisha sana uyu mtu ndo mana mtu unacheat tokana na matendo ya mumeo
unakumbuka yule shost niliweka uzi kaniacha na watoto kaenda kugegedwa ? anadai ana miezi 2 hajasex na mumewe
jamaa ni kusafiri,kurudi late nyumbani na kulewa ndo maana yule dada katafuta kipoozeo hata nimeshindwa kumshauri
 
Hyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
hata nikioa 5 bado shida yangu ni kukosa uhuru. Moyo wangu utafurahia ku date na wanawake tofauti tofauti hata kama siyo ku sex nao hata kampani tu is enough
 
Then maybe marriage is not for you.

Have you ever thought about that?
 
Mazoea hujenga tabia wewe uendelee kueka huo utaratibu mpya mbona atabadilika tu
ndo nimegundua mwanamke hata kama ni mzuri kiasi gani ukishaishi nae uzuri unabaki wa sura
 
Huu ndio utu uzima sasa.
Huku ndiko kukua sasa.
Hapa ndipo panapo anza na ukomavu.
Huu wakati ndio wa kutofautisha pumba na mchele, marafiki wema na wabaya, mema na mabaya.
Huu ndio wakati wa kua karibu na mkeo.
Huu ndio wakati wa mwanamume kuwa committed na familia yake (mkewe).
Huu ndio wakati wa wewe kuchanganua na kuona tofauti ya huba na mahaba.
Haupaswi kujuta mkuu,
Wala haupaswi kuomba ushauri hapa.
Ukisikia kila jambo na wakati wake, ndio kama hivi.
Huu pia ni wakati wa jambo hili kutimilika.

Nihayo tu kwa leo.
[emoji124] [emoji124]
hahahaha bora tukutane uzeeni Mungu akipenda
 
Back
Top Bottom