ushauri kwake mwambie avitafute tu hivyo vipoozeo ila fainali uzeeni. Mwanamke hata uwe mzuri je, kuna umri ukifikisha hata ujipodoe vipi, mvuto unaisha tu.unakumbuka yule shost niliweka uzi kaniacha na watoto kaenda kugegedwa ? anadai ana miezi 2 hajasex na mumewe
jamaa ni kusafiri,kurudi late nyumbani na kulewa ndo maana yule dada katafuta kipoozeo hata nimeshindwa kumshauri
Yule shost hana kosa Miss sema tu mtto mdogo apo kwa mtto ndo nimemlaumu me kabla sijaingia kwenye ndoa nilisema sigegedwi nje ngoooo nitoke nifate nini lkn mdomo uliponza kichwa mama anguunakumbuka yule shost niliweka uzi kaniacha na watoto kaenda kugegedwa ? anadai ana miezi 2 hajasex na mumewe
jamaa ni kusafiri,kurudi late nyumbani na kulewa ndo maana yule dada katafuta kipoozeo hata nimeshindwa kumshauri
ahahaa kwaiyo na wewe unakula vitu pembeni?Yule shost hana kosa Miss sema tu mtto mdogo apo kwa mtto ndo nimemlaumu me kabla sijaingia kwenye ndoa nilisema sigegedwi nje ngoooo nitoke nifate nini lkn mdomo uliponza kichwa mama angu
Yakikufika acha tu Miss we bado ngoja uingie tutaongea kwenye chemba letuahahaa kwaiyo na wewe unakula vitu pembeni?
ahaha me sitachepuka kamwe, liwalo na liwe tena ukute nina watoto ndo kamwe sitochepukaYakikufika acha tu Miss we bado ngoja uingie tutaongea kwenye chemba letu
Nakuombea kila la kheri mama anguahaha me sitachepuka kamwe, liwalo na liwe tena ukute nina watoto ndo kamwe sitochepuka
umri huo mwenzio Mo hata bado hajaufikia mavumba kedekede wewe ndo unawaza wanawake? duuuh umechelewa kweli mkuu na kijana wa miaka 18 afanye nini mpende mkeo haya maisha tu k hazina mwisho watengenezee watoto njiabado nipo ujana. 40 bado saana!
Umri ni namba tuu mkuu,sina utoto mkuu nipo above 30
tangu huko under 18 ndo mikiki yangu nikajua nikioa labda nitakuwa retired ila nakosa oxygenumri huo mwenzio Mo hata bado hajaufikia mavumba kedekede wewe ndo unawaza wanawake? duuuh umechelewa kweli mkuu na kijana wa miaka 18 afanye nini mpende mkeo haya maisha tu k hazina mwisho watengenezee watoto njia
kuoa sio sheria wewe ,kuoa ni sheria, kila siku maneno hayaishi ila ukifukuza wala hakuna anayekusemesha
ndoa ininyime uhuru kiasi cha kushindwa kwenda kushare story na fans wengine nikitaka kutoka naambiwa twende wote wakati unakuta moyo wangu unataka hata nikakae na mwajuma nipige nae story tu?Umri ni namba tuu mkuu,
Mawazo pevu ndio huonyesha mtu kukua.
Wee badala ya kufikiria unaboreshaje ndoa yako uipende unawaza mchepuko na kuacha, umeoa kalba ya kujua maana ya ndoa ni nini, ndoa ni pana sana sio fupi kama uitamkavyo



mh? Yamekuwa hayo!? Basi nisitoe talaka, kila mtu akae kivyake tukutane uzeeni.Kuwa Rubani wa Ndege...! haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa..!!
Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia..! lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta...
Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi..! lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!
Mapenzi sio Mchezo...!! Maprofesa wanakuna Vipara... Formula hakuna!.... Research zimekwama!.. No Submission!....once U fall in Love heshimu hisia kwanza Status kisha Personality baadae!
Ndoa zina changamoto lkn usimuache mkeo.Talaka ni haki yako kuitoa lakini hata Mungu anaichukia sana talaka
Utakuwa unamhudumia au?mh? Yamekuwa hayo!? Basi nisitoe talaka, kila mtu akae kivyake tukutane uzeeni.