Jamani Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi! Tena kaniambia hana 'feelings' na mimi hata 'kidogo'
Fanya anachofanya yeye!!!!
Jamani Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi! Tena kaniambia hana 'feelings' na mimi hata 'kidogo'
Jamani Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi! Tena kaniambia hana 'feelings' na mimi hata 'kidogo'
piga chini!
Huyu ni mke/mme au just boyfriend & girlfriend?
Kama mke/mme jitahidi tafuta njia ya kumfanya aanze kukupenda waone hata wataalamu/washauri wa mambo ya ndoa ili ujue chanzo cha tatizo nini na utatue.
Lakini kama ni GF/BF basi achana nae tafuta ambaye mtapendana kwa dhati
unaweza kutwambia kama hapa duniani yuko yeye peke yake ?
asiyekupenda achana nae simple !