Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Jul 12, 2023
79
288
Mume wangu aliponichoka.

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena
 
Mume wangu aliponichoka...
-+Nkimkumbatia anasema nampotezea mda

-+nkimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

-+kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

- +nkimuomba anisaidie kitu..mfano naitaj nibadilishe uelekeo wa kitanda..anasema kila kitu usaidiwe tuu.

-+tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"

-+kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda...ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

-+Sasa nimekonda kweeli...stress na shida..ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa......
...namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

... najua kabisa amenichoka..hanipendi Tena..
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau weeks kadhaa kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
 
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau kidogo kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtu
 
Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtu
Kadri unavyokaa na kitu moyoni ndivyo kinavyokutafuna taratibu. Kama wewe ni mtu wa kanisani, basi tafuta hata mama mtu mzima mwenye staha umsimulie at least kifua kipumue na anaweza kukupa maneno mawili matati yatakayokufaa. Usijitafutie ugonjwa wa moyo. You're too young to die of heart attack.
 
Am really serious...
Mi sio mtalaamu ila nahisi:

1. alikupendea muonekano,
2. mlidate muda mfupi,
3. mmeoana umri bado mdogo,
4. hamjapata mtoto (au watoto wa kuwaweka busy),
5. we ni mama wa nyumbani.

temporary solutions:
1. tafuta kazi
2. weekend toka out su jumapili toka umependeza ata uende kanisani
3. jipende usikae home kama upo hostel
4. usimkumbushe majukumu yake atajua mwenyewe

oya mi sio mtaalamu ila Pole.

Mi team Kataa Ndoa
 
ndoa tamu we mad max, oa uone tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha

Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion najipaka Vaseline ya watoto
 
Vaseline Bado ni Bei kubwa, paka ya Nazi
 
Back
Top Bottom