Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,408
- 166,820
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacityKanunue skin tite cassandra au woolworth bei ni kati ya 20000 hadi 35000 hizo zina bana sana ila unakuwa huru haziumizi wala kuleta alama mwili sababu ni laini ila mpira wake ni mgumu.
asante kwa mchango Wako. Thank you for being genuine advisorSorry sikusoma kuwa unavaa skintight zaidi ya tatu,my previous advice may not work out for you!Consult women with similar problem and people who train on excercises that may help utapata Ushauri,am not sure kama utapata ushauri mzuri hapa!
asante kwa mchango Wako. Thank you for being genuine advisor