Morning glory
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 149
- 55
Muombe akupige upya
Jamani nimekosana na kipenzi changu na akanipiga sana Jana Usiku na hakukuwa na Amani kabisa,staki tununiane tena Usiku Huu, nahisi Mimi ndo mwenye makosa nifanyeje kumbembeleza na nifanyeje agundue that I am truly sorry,msaada wana MMU
Be blessed
Duuuuu swali gan unamuuliza mwenzio si unajua hiki ni kipindi cha masika? asa mambo ya kulala mmenuniana inahusu????Omba msamaha tu then muache hasira zikipungua mtakuwa vizuri
kwanini hutaki usiku anune kwani mvua inanyesha?
Baridi ikimshika atacheka mwenyeweDuuuuu swali gan unamuuliza mwenzio si unajua hiki ni kipindi cha masika? asa mambo ya kulala mmenuniana inahusu????
Kuwa tu mpole,timiza majukumu yako with a smiling face.
Don't push too hard,mpe nafasi hasira zake zipungue then atakuwa sawa tu!!!
Pole kwa kipigo though.
Mbona wenzangu mna-comment as if hamjasikia alichosema? Hivi huyu baby wake alivompiga mbona mnafumbia macho jamani? Mbona mie naona sehemu ya kumshikia ndo hapo mana shosti kosa lako lishafutwa kwa kipigo alichokupa, hapo we nuna ili akuombe yeye ndo akuombe msamaha.
Tena ampige kwa kirungu!