Nifanyeje kuhusu ili?


Kama una hela sana uwe unakod tax kwan home ukujui....tena umshukuru uyo na anakuja japo kwakuchelewa.....cha mtu mav shost nunua lako..itafka kipindi atakuchoka...wanaume dak 2 mbele...ohooooo
 
Kama una hela sana uwe unakod tax kwan home ukujui....tena umshukuru uyo na anakuja japo kwakuchelewa.....cha mtu mav shost nunua lako..itafka kipindi atakuchoka...wanaume dak 2 mbele...ohooooo

Wa wapi hao?
 
 
Last edited by a moderator:
Huwa una kosa nauli ya kufika kwako? Kama huwezi kuvumilia kumsubili basi tafuta public trasport mrembo!
 
Kwanza hujatuambia ulikuwa unaenda na kurudije kazini kabla hujampata huyu mpenzi. Nikifikiria gharama za mafuta na uchovu wa kuendesha gari halafu mtu anakupitia kwenu na kukurudisha jioni inaonyesha huyo kaka anakujali ingawa sitaki kumlinganisha na wengine. Kwa hiyo kwanza jifunze kuwa na moyo wa shukrani, pili uelewe concept ya muda haifanani kwa kila mtu kwa hiyo unatakiwa kumwelewa mtu na kuchukuliana naye badala ya kutaka yeye abadilike kufuata unavyotaka. Hiyo hatua unayotaka kuchukua ni kama huyo kaka anafanya makusudi vile. Mi nakushauri upande daladala au bajaji ili umkomoe.
 
Nambie mengine sio ya kufungua siredi

SUPER KIBAMIA LOVER
TEAMO
 
nyie wadudu kazi kweli .......na yeye c yupo job....sasa unaona shida gani kumjuza umemaliza,,,, na umempata kweli huyo....bembeleza ndoa kabisa.....
Hii lugha si ya mjadala wa amani!usitegemee kufurahishwa kwa kila ukisomacho!
 
unalalamika...wakati alikupata kutokana na shida zako za usafiri...mwache jamaa afanye kazi...
 
Unapozungumzia Daladala jifikirie Twice... huko kuna Vifua vikuu majosho magonjwa ya Ngozi Kuibiwa mali kuumia au kumuumiza mwingine, kutoleana maneno machafu n.k sasa wewe Unapitiwa then umepewa nafasi murua pale tu unapokuwa tayari ndio unafuatwa... pole sana kwa Shikrani hizo... ila nakushauri usijaribu kumuuzi akupendae hasara utakayopata ni kubwa sana.... Furahia upatapo nafasi kama hizo... haziji Twice zinaitwa Golden Chance never come twice. kama umechoka muambie tu... ila ataudhika na atakuwa free zaidi hivyo nafasi ya kumpoteza itakuwa karibu... na kama umechoka ni umechoka tu jitoe pengine atakuja mwingine... huwezi jua labda na yeye anakereka kukupitia kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…