Nifanyeje kuhusu ili?

Nifanyeje kuhusu ili?

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu

Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom

Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.

Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?
 
sasa atajuaje kama umemaliza kazi. usikasirike
 
ulishazungumza nae kuhusu hilo au ndo umekuja kumsemelea tu?
 
We acha mapenzi ya kitoto, ashazoea uwa unampigia ukimaliza shughuli zako anakufata, sasa we unataka awe anakuja then anakaa kukusubiri, akiwa anakuja kukufata utakuja tena kuandika; mpenzi wangu ananifata ananisubiria kama nyapala. Acha lawama wewe yaani nyie watu hata hamjuagi mnatakaga nini, hakunaga hyo kama vp chukua kamkopo jipatie japo kavtz. Na kesho sikufati.
 
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...

hahahaha hii imetisha,mume wa kazi gani jmn km hata hajui unashinda wapy daily?
 
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...

Lol wacha tu basi nideke nikiwekwa ndan nayasahau hayaaaaaa
 
bidada unless kama mida hyo unamsubiria unakuwa bado na kazi za kufanya subiri mana walau utaonekana mchapakazi au mnalipwa overtime sawa...otherwise kukaa kazi zishaisha hadi usiku mhhh, si upande usafiri mwingine..?
Ila ndo vile lifti za watu sheeda,..mi zishanishinda kusubiria ratiba ya mtu
 
We acha mapenzi ya kitoto, ashazoea uwa unampigia ukimaliza shughuli zako anakufata, sasa we unataka awe anakuja then anakaa kukusubiri, akiwa anakuja kukufata utakuja tena kuandika; mpenzi wangu ananifata ananisubiria kama nyapala. Acha lawama wewe yaani nyie watu hata hamjuagi mnatakaga nini, hakunaga hyo kama vp chukua kamkopo jipatie japo kavtz. Na kesho sikufati.

Ujue inachosha mkuu,kila sku hadi nipige nsipopiga hadi giza daah solution ni kutafuta hata bajaji tu
 
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu

Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom

Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.

Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?

  1. Kwani huyo ni mkeo/mmeo wa ndoa?
  2. hebu tenga dk 5 tu halafu fikiria maisha yako huko nyuma miaka 10 iliyopita uliendeshaje.
  3. yawezekana anatumia gia ya kukuchukua na kukurudisha ili akuchunge vizuri au afanye mambo yake vizuri. wewe akikumindi kwa sababu umeamua kurudi home mwambie wewe umenjichunga vizuri ndiyo maana kakukuta upo vizuri.
 
Oaneni ikibidi muwe mnabadilishana nani ampitie mwenzie....siku ingine una drive wewe kumpitia yeye...mnarudi home
 
Back
Top Bottom