Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

kuna wakati nami niliwaza kama wewe, watu wa karibu walionipa ushauri ni kwamba nisome vitabu nami nafanya hivyo ilakiukweli maandishi mengi yenye kugawa maarifa yapo katika lugha ya kiingereza, so anza kujifunza kiingereza kwanza.

Mkuu kiingereza nilishawahi kujifunza ingawa bado sijawa compitent sana, naweza kusoma kitabu nikaelewa kinachoongelewa. Ndio maana naweza hata kupost uzi hapa JF!
 
Endelea kufikiri!

Ubongo wa binadamu muda wote huwa unafikiri. Popote ulipo, kazini, unatembea barabarani, unakula, unaoga, umekaa, n.k ubongo huendelea kufikiri. Sio kwamba nilipoleta huu uzi hapa JF ubongo wangu ulisimama kufikiri, la hasha! Nilihitaji kujua ni namna gani ya kuongeza au kukuza uwezo wa kufikiri zaidi ya huu nilionao kwa sasa sababu mazingira yanabana unaweza kujikuta ume-perish! Kuna ka kauli alikasemaga 'Darwin' kuwa viumbe watakaoweza kukabiliana na mabadiriko ya mazingira ndio watakao endelea kuishi na watakaoshindwa basi watatoweka duniani.
 
Haya maelezo hapa juu inaonyesha bado unasita kufikiri, nasema endelea kufikiri hii ina maana sana.

Ubongo haufikiri, ubongo unafanya kazi ipasavyo, Ubongo haufikiri kamwe!

Kama ubongo ukifikiri tu kwa dakika moja binadamu hupata msukosuko na hatimaye hufa.
 
Soma , Cheza.. Mengine yote ni assumption tu. Chakula kina upa ubongo wako capacity au potential ya kuwa critical thinker. lakini kuwa critical thinker unahitaji tu kusoma vitabu na kucheza michezo. hii ni kwa sababu kusoma ni kupata maarifa. na kucheza ni kutumia maarifa. kwahiyo ukisoma tu bila kucheza michezo au kufanya ubongo wako uchambue na kuunganisha maarifa uliyo nayo kutatua matatizo ni bure.

Kwa kifupi niseme ukitaka kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria, Basi Fikiria sana.

Yap Leonardo Da Vinci this comes from Da Vinci code!!!!!!!
 
Haya maelezo hapa juu inaonyesha bado unasita kufikiri, nasema endelea kufikiri hii ina maana sana.

Ubongo haufikiri, ubongo unafanya kazi ipasavyo, Ubongo haufikiri kamwe!

Kama ubongo ukifikiri tu kwa dakika moja binadamu hupata msukosuko na hatimaye hufa.

Naomba unifafanulie kazi ya ubongo ni ipi mkuu? "Ubongo unafanya kazi ipasavyo" ni kazi gani hiyo ambayo ni tofauti na kufikiri? Hoja yako bado sijaielewa mkuu hebu tuweke wazi hata sisi wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo tuweze kuelewa.
 
Uwezo wa kufikiri unahusisha sana ubongo. kwanza kula vizuri uupe ubongo afya kisha jitahid kusoma vitabu vya hadith hasa vya kiingereza, nadhan hiyo itakusaidia.
 
Mkuu nikipitia majukwaa mengine hayatasaidia kuongeza uwezo wangu wa kufikiri isipokuwa jukwaa la critical thinker tu? Naomba unifafanulie kidogo!

The fear of the Lord, is the beginning of the knowledge (proverbs 1:7)
For the Lord giveth wisdom: out of his mouth cometh knowledge and understanding (Proverbs 2:6)
Know the love of Christ: which passeth knowledge, (Ephesians 3:19)

Tragedy of the commons
 
Mkuu huwa tunasema '' all reasoning is thinking but not all thinking is reasoning" hapo namaanisha hata mtoto mdogo anafikiri but he/she is not reasoning always, kwa hiyo kadri unavyoongeza uwezo wa kufikiri, think critically
 
Naomba unifafanulie kazi ya ubongo ni ipi mkuu? "Ubongo unafanya kazi ipasavyo" ni kazi gani hiyo ambayo ni tofauti na kufikiri? Hoja yako bado sijaielewa mkuu hebu tuweke wazi hata sisi wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo tuweze kuelewa.

Fikiri sasa!! Sababu kazi ya ubongo ni taaluma ya watu, ila kwa magari ya kisasa ni kama ECM au CPU kwa computer,
Sasa fikiria ECM au CPU inafikiri ili kukokotoa kazi yake nini kitatokea kwa hiyo mechanism.

Au fikiri kwa nini mtu anatapika akiwa kwenye safari ya majini, "Pale ubongo huwa unafikiri"
 
Hoja yako bado sijaielewa mkuu hebu tuweke wazi hata sisi wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo tuweze kuelewa.

Hapa ulisita kufikiri sababu mwanzoni ulitoa mada ukionesha nafsi ya kwanza umoja, lakini kwa sasa unasema "sisi wenye uwezo mdogo wakufikiri..." Inaonesha mko wengi je wewe na nani?

Hapa mimi najaribu kufikiri!
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?

Mkuu umeuliza swali zuri sana, kuuliza swali hilo kwenyewe kuonaonesha kuwa wewe ni thinker, si mjinga. kama usingekuwa na uwezo huo usingeuliza hata swali hilo, kwa hiyo naona nia yako ni kuongeza uwezo ulio nao, na si kuwa huwa uwezo huo. wengi tuko kama wewe kila siku tunapenda kuongeza uwezo wa bongo zetu, si kukuza miili tu. Ukweli ni kuwa elimu inasaidia sana kukufanya uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri, hasa pale unapojifunza critical thinking na critical analysis (uchambuzi yakinifu, upembuzi yakinifu, fikra jadidifu nk). Watu waliojifunza mambo haya wana uwezo mkubwa zaidi wa kufikiri, kuchanganua, kutafakari na kueleza na hata kupendekeza utatuzi.

Lakini kusomea mambo hayo si lazima kuwa kunafanya kila aliyesomea awe na uwezo, lakini vile vile asiyesoma haina maana kuwa hawezi kuwa na uwezo huo. Kusoma (elimu) si jambo la darasani tu, unuaweza kuwa unasoma mambo ya maana kila siku na ukapata uwezo huo. Cha muhimu ni kuwa usisome mambo ya kiudaku udaku.

Ukiangalia baadhi ya watu wanaoitwa wasomi hapa Tanzania unaweza kuona wazi kuwa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana, sababu ni kuwa wanatumia akili zao kukumbuka tu yale waliyofundishwa na na si kutumia elimu yao kuchanganua yale yanayowazunguka kwa kutumia akili zao. Badala yake wanatumia nadharia za Ulaya kujaribu kushughulikia mambo ya maeneo yao.
 
Tafuta kundi la watu ambao wanaakili kukushinda wewe yaani wewe ndo kipleti kwao so utachange ghafla bin vuu.
 
Hapa ulisita kufikiri sababu mwanzoni ulitoa mada ukionesha nafsi ya kwanza umoja, lakini kwa sasa unasema "sisi wenye uwezo mdogo wakufikiri..." Inaonesha mko wengi je wewe na nani?

Hapa mimi najaribu kufikiri!

Nilipo post hii thread nilimaanisha ni mimi binafsi sababu hayo mawazo ya kuongeza ufikiri wangu yalinijia nikiwa peke yangu, lakini kadri watu wanavyo endelea kuchangia kwenye hii thread baadhi yao wanaonyesha wanauhitaji wa kuongeza uwezo wao wa kufikiri ndio maana nilipo kujibu kwenye ile post yako nikawajumuisha na nafsi ya tatu uwingi ambao wanauhitaji wa kuongeza uwezo wao wa kufikiri.
 
The fear of the Lord, is the beginning of the knowledge (proverbs 1:7)
For the Lord giveth wisdom: out of his mouth cometh knowledge and understanding (Proverbs 2:6)
Know the love of Christ: which passeth knowledge, (Ephesians 3:19)

Tragedy of the commons

Mkuu nashukuru kwa mchango wako ntaufanyia kazi
 
Nilipo post hii thread nilimaanisha ni mimi binafsi sababu hayo mawazo ya kuongeza ufikiri wangu yalinijia nikiwa peke yangu, lakini kadri watu wanavyo endelea kuchangia kwenye hii thread baadhi yao wanaonyesha wanauhitaji wa kuongeza uwezo wao wa kufikiri ndio maana nilipo kujibu kwenye ile post yako nikawajumuisha na nafsi ya tatu uwingi ambao wanauhitaji wa kuongeza uwezo wao wa kufikiri.
!

Endelea kufikiri!
 
Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji yake angalau nusu lita kwa siku muda wa miezi mitatu mpaka minne. Ukitaka kuwa genious kunywa mchnaganyiko huo kwa muda wa mwaka mzima......Mimi nilifanya hivyo sasahivi ni Professor Mlimani............
Kwa umri niliokuwa nao nimejifunza kuwa katika maisha vipo vitu ambavyo huwa vinahitaji seriousness otherwise you will end in trouble, especially wakati watu wanajadiri important issues afu we unaingiza joking, Hilo ni tatizo (I accept correction)
 
Back
Top Bottom