Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?
Azisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke anayeomba hela, uwe unampa na usiachanenae. Nadhani ukiombwa hela wakati huna! uwezo wako wa kufikili utaongezeka
 
Be reasonable,, be accurate,,be wise and open minded,,observe every detail dont give hasty decisions,,use your common sense bro
Dont be single sided thinker
Then utayaona mabadiliko kwa muda mfupi sana baada ya kufuata hizo principles

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji yake angalau nusu lita kwa siku muda wa miezi mitatu mpaka minne. Ukitaka kuwa genious kunywa mchnaganyiko huo kwa muda wa mwaka mzima......Mimi nilifanya hivyo sasahivi ni Professor Mlimani............
Aisee..!!!
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?
Kwani unaposema kusoma sana, kusoma sana una maanisha nn? Kuwa la Saba usijihisi unyonge, soma vitabu vingi vya Kila Aina hiyo ndio chakula cha ubongo mzee
 
Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji yake angalau nusu lita kwa siku muda wa miezi mitatu mpaka minne. Ukitaka kuwa genious kunywa mchnaganyiko huo kwa muda wa mwaka mzima......Mimi nilifanya hivyo sasahivi ni Professor Mlimani............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom