Nifanyeje ili niwe na powerful sex intercourse kama ya mbwa?

Ushawahi kuona Kiti moto akigegeda? Kama hujawahi nakushauri fanya uchunguzi halafu hiyo nia yako ya kutaka uwezo wa Mbwa ihamishie kwa "Kitimoto"
 
Muombe Mungu akubadilishe uwe mbwa ili uwe na uwezo kama wa mbwa.
NB: kwa akili zako finyu kama hizi, ukibadilishwa ukiwa mbwa BASI UTAKUA JIBWA KOKO.
Niko kamili, niko fiti.
Haiwezi tokea hata siku moja nimuombe MUNGU anibadili kuwa mbwa.
 
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.

Unataka kuwa hivyo ili ukamkomeshe mwanamke tu?ama unataka uhamie kusex na mbwa?
 
Ushawahi kuona Kiti moto akigegeda? Kama hujawahi nakushauri fanya uchunguzi halafu hiyo nia yako ya kutaka uwezo wa Mbwa ihamishie kwa "Kitimoto"
Bado Mkuu.
Ngoja nizunguke kwenye mabanda ya wafugaji.
 
Sema uno la mbwa dume nalo hatari, unakuta anachezesha mkia anti clockwise huku akipiga back and forth ya nguvu hahaaa! Inatia aibu sana kuwatazama wanapofanya yao hadharani, hasa ukiwa na mtu unayeheshimiana naye!
 
Kama uko fiti kwanini unataka kuwa mbwa?
Ungekuwa na akili kama unavyojinadi, ungerejea kwenye majibizano ya comments zilizopita, uliniuliza nina akili?, ndiyo nimekujibu "NIKO FITI, NIKO KAMILI, kiakili"
Tukija kiintercourse unayosema, niko fiti pia.
 
Kula supu ya mchanganyiko ubongo na kengerere za mbwa!!
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
 
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Tembea na mke wa mtu utakuwa nayo tena kali zaid
 
Jitahidi kula supu ya mbwa angalau mara tatu kwa siku ukimalaiza mwezi tuletee mrejesho.
 
Back
Top Bottom