Nifanyeje ili niwe na powerful sex intercourse kama ya mbwa?

Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Aisee! Mambo ni mengi duniani
 
kuwa mbwa
 
sawa unakwama wapi mbona wengine tuna pull kama ya mbwa ? eleza mapungufu yako nikusaidie chap
Kwenye suala zima la kujamiiana sina mapungufu.
Huwa napenda kudadisi vitu kwa vitendo, nataka kusaidiwa kwa ushauri wa kisayansi kuhusu hili.
 
Mh!
Mbona hiyo ngumu kumeza!!, kula mbwa tena!!
Unathibitishaje kisayansi kama mbwa wana nutrients za hayo mambo?
Mkuu hao wanasayansi unaowaamini walihatarisha maisha yao au ya viumbe wengine ili kufanisha jambo lao jema. Sasa wewe kula mbwa unaona taabu wakatu ndugu zangu pale pembeni wanatafuna kama kawaida.
 
Nithibitishiwe kwanza kisayansi ndipo nianze kula.
 
Back
Top Bottom