Nifanyeje ili niwe na powerful sex intercourse kama ya mbwa?

Umeshathibitisha kisayansi ukila mbwa unakuwa na intercourse kama ya mbwa?
Uko kwa mganga maswali ya nini? We kula dozi lete mrejesho. Utabadilishiwa dozi kama hiyo haikufai.
Kama unataka kujua dawa hiyo ikoje maana yake uje shule, lipia ada
 
kama hauna shida tayari unajua sasa unauliza nn tena ?
Huwa navutiwa na kutaka kuvijaribu kwa vitendo, vitu ninavyoviona kwa macho.
Hobby yangu ni kujaribu vitu mbalimbali kwa vitendo.
Huenda lengo lako nionekane dhaifu hapa JF.
Ningekuwa na shida ya NGUVU ZA KIUME ningeanzisha uzi kuomba msaada wa nguvu za kiume.
 
Uko kwa mganga maswali ya nini? We kula dozi lete mrejesho. Utabadilishiwa dozi kama hiyo haikufai.
Kama unataka kujua dawa hiyo ikoje maana yake uje shule, lipia ada
Lazima niulize.
Kuuliza watu mbalimbali ikiwemo hapa JF ni sehemu ya shule.
 
A hundred million dollar question...
Wewe hilo swali unaona gumu na la ushindi?, nimeshalijibu na kulipangua kirahisi. Huyo unayemwaminia mwenzio ameshanyamaza zamani, bado wewe.
Hata muungane "A hundred million", hamuwezi kunishinda na kunitoa kwenye msimamo wangu.
 
You are right, according to your way of thinking.
I have nothing to remove or add, stay blessed..
 
Kula kwa imani sayansi ni overrated stories tu.
Sayansi siyo stories za kukuzwa, watu wamefanya majaribio kwa VITENDO na wamethibitisha matokeo kwa macho.
Sayansi haihitaji imani, "Ukimeza dawa za kisayansi, uwe na imani, usiwe na imani, unapona"
 
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Kweli Nchi ya viwanda hii
 
Wewe hilo swali unaona gumu na la ushindi?, nimeshalijibu na kulipangua kirahisi. Huyo unayemwaminia mwenzio ameshanyamaza zamani, bado wewe.
Hata muungane "A hundred million", hamuwezi kunishinda na kunitoa kwenye msimamo wangu.
Wewe jamaa mbishi kweli kweli, sasa nikushauri njia rahisi na utakua unapiga mawino kama dogi,
Mtafute dog fanya kama unamuasi, chukua korodani zake zikaange mpaka ziwe jivu, saga upate unga kisha jichanje pande zote za kiuno halafu sugulia huo unga.
Yaani kila muda ukifika yule mbwa alipokuwa anapiga show, utakuwa unachukua nafasi yake...
 
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
wewe ni binadamu na yeye mbwa katu hamuwezi kufanana,vipi ukiwaza pia kuwa na akili kama za mbwa?
 
Kweli Nchi ya viwanda hii
Hivyo viwanda tunavitengeneza kwa wataalam wetu wenyewe?, au kwa msaada wa wataalam wa nchi za nje?
Comment yako inaakisi hapa Tanzania hakuna wataalam wa uhakika.
Mtaalam wa uhakika hata kinachoonekana cha kipuuzi anakitafakari mara mbilimbili ili kuongeza maarifa.
 
Wewe jamaa mbishi kweli kweli, sasa nikushauri njia rahisi na utakua unapiga mawino kama dogi,
Mtafute dog fanya kama unamuasi, chukua korodani zake zikaange mpaka ziwe jivu, saga upate unga kisha jichanje pande zote za kiuno halafu sugulia huo unga.
Yaani kila muda ukifika yule mbwa alipokuwa anapiga show, utakuwa unachukua nafasi yake...
Sipingi wala sikatai dawa za kiasili, hiyo ndiyo asili yangu Mwafrika. Japo naamini tiba asili, hii ya kwako naiona kabisa kama changa la macho.
Wewe unaiona ya kweli?
 
Sipingi wala sikatai dawa za kiasili, hiyo ndiyo asili yangu Mwafrika. Japo naamini tiba asili, hii ya kwako naiona kabisa kama changa la macho.
Wewe unaiona ya kweli?
Kamanda mganga huwa anatiliwa wasi wasi ..?wewe una shida kweli ?
Fuata maelekezo bila kukosea, angalia usikosee ukachukua tabia za mbwa jike....
 
wewe ni binadamu na yeye mbwa katu hamuwezi kufanana,vipi ukiwaza pia kuwa na akili kama za mbwa?
Ulipolenga wewe, umelenga mimi siwezi kuwa na umbo la mbwa, hiyo sawa nakubali, siwezi kuwa na umbo la mbwa, ila NAWEZA KUWA NA TABIA ZA MBWA.
Haiwezekani mimi kuwa na akili ya mbwa.
 
muombe mungu akugeuze uwe MBWA .
ila wakati wa maombi usisahau kuomba uwe na jinsia gani
 
Kamanda mganga huwa anatiliwa wasi wasi ..?wewe una shida kweli ?
Fuata maelekezo bila kukosea, angalia usikosee ukachukua tabia za mbwa jike....
Kuna waganga wa aina mbili:
1: Jadi
2: Kitabibu
Kwa ushauri wako uliopita, ulilenga wa kijadi, ndiyo maana nikapinga, mganga wa kienyeji hana scientific proofs. Ungetoa ushauri wa mganga wa kitabibu nisingekubishia.
Unakimbiliaje kunihusisha na jinsia ya kike kirahisirahisi hivyo?, au hisia na akili yako imeshalemaa kwenye uanamke?
 
muombe mungu akugeuze uwe MBWA .
ila wakati wa maombi usisahau kuomba uwe na jinsia gani
Si bora usingecomment tu!, comment gani sasa hii!
Haiwezekani mtu mwenye akili za ushindi aombe kuwa mbwa.
MUNGU kaniumba mwanaume.
 
Kuna waganga wa aina mbili:
1: Jadi
2: Kitabibu
Kwa ushauri wako uliopita, ulilenga wa kijadi, ndiyo maana nikapinga, mganga wa kienyeji hana scientific proofs. Ungetoa ushauri wa mganga wa kitabibu nisingekubishia.
Unakimbiliaje kunifananisha na jinsia ya kike kirahisirahisi hivyo?, au hisia na akili yako imeshalemaa kwenye uanamke?
Mganga ni mganga tu, inategemea anaegemea wapi. Kuangamiza au kutibia,
Wewe ulitaka ushauri, pokea ushauri . wewe utabishanaje na mganga..?
Daktari unaweza bishana nae hawa wa digitali , lakini wa jadi tangu lini ukabishana nao ? Fauata maelekezo mkuu..
 
"What you eat, is who you are", Jaribu kula sana mifupa, ukiweza kula nusu kilo kwa siku utakuwa kama mbwa.
 
Back
Top Bottom