Nifanyeje ili niwe na powerful sex intercourse kama ya mbwa?

Mganga ni mganga tu, inategemea anaegemea wapi. Kuangamiza au kutibia,
Wewe ulitaka ushauri, pokea ushauri . wewe utabishanaje na mganga..?
Daktari unaweza bishana nae hawa wa digitali , lakini wa jadi tangu lini ukabishana nao ? Fauata maelekezo mkuu..
Sehemu nyingi kwenye huu uzi nimetoa angalizo nataka maoni yanayothibitishika kisayansi.
Ulitoa ushauri ambao kiwaziwazi kabisa unaonekana hauthibitishiki kisayansi.
Mganga ni mganga?, kama hata mganga wa kienyeji asibishiwe, kwanini wanakamatwa na serikali?, maana yako dawa zao haziaminiki, za kubishiwa.
 
Lazima niulize.
Kuuliza watu mbalimbali ikiwemo hapa JF ni sehemu ya shule.
Unataka nguvu za sex. Dawa kula mbwa. Unataka scientific proof anzisha thread nyingine. Unataka shule toa ada. Masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Umeandika haraka unaogopa nisikujibu, hata kama unaogopa, mimi nitakujibu tu.
Maelezo yako yote, elezo linalotakiwa kujibu ni la "Unataka nguvu za sex", jibu ni hili:
"Sijaomba niwe na nguvu za sex, ninazo. Nafanya majaribio ya kidadisi"
 
Labda sasa jibu swali ulilouzwa uko darasa la ngapi? Tuanzie elimu yako?
 
18+ unaniuliza niko darasa la ngapi?
Aliyeniuliza/unayeniunliza niko darasa la ngapi ndiwe unayetakiwa kujibu.
Uko darasa la ngapi?
 
Ulipolenga wewe, umelenga mimi siwezi kuwa na umbo la mbwa, hiyo sawa nakubali, siwezi kuwa na umbo la mbwa, ila NAWEZA KUWA NA TABIA ZA MBWA.
Haiwezekani mimi kuwa na akili ya mbwa.
umenena vyema mkuu,kuna mambo mengine hatuwezi kufanya kama wanyama
 
Mkuu, mimi ndiye niliyeleta huu uzi, nimeuleta ili kuomba ushauri wa kisayansi wa kuwa na uwezo "KAMA" wa mbwa wa kwenye mapenzi, maana mbwa ndiye kiumbe ninayemwona mwenye uwezo mkubwa kwenye mapenzi.
Simaanishi niwe overall na tabia za mbwa, ila kwenye mapenzi tu.
Kisayansi hii inawezekana.
 
Kula msosi wa makombo ya ugali na mifupa mlo mmoja kwa siku. lala mchana kutwa ukishindia maji tu. Usiku ukiingia baada ya kula amka uzungukue nyumba kwa kukimbia huku unabweka hadi pakuche.

Ndani ya miezi 6 tu utakuwa unagonga show kama scooby doo wangu pale bandani! Ulete mrejesho mkuu.
 
Hahhaha
 
Kote umechekesha fresh, ila kwenye nibweke kama mbwa, umezingua.
Tanzania bado hatujawa serious.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom