Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

Utanashati ni muunganiko wa vitu vingi hivyo ni gharama kidogo. Kwanza anza na matunzo ya nywele zako! kila mtu ana kichwa ambacho kinaonekana vizuri au vibaya kulingana na aina fulani ya kunyoa. Tafuta hair dressing tyle inayokufanya utokee presentable (watu wengi kipara hakiwatoi smart). Pili, tafuta mavazi yanavyoendana na structure ya mwili wako (epuka nguo zinazopwaya sana au kubana sana). Mpangilio wa rangi za nguo kulingana na rangi yako unahusika pia, kama wewe mweusi uwe unapenda kuchanga nguo zenye bright colours or strips. Angalia pia aina za strips (vertical or horizontal or diagonal) hasa kwenye nguo ya juu. watu wengi wasio na umbo la unene, vertical strips zinawatoa poa na kuwaonyesha warefu. Pamba zako sio lazima ziwe za bei ghali ila material ya nguo inahusika kwenye ubora wa nguo, mfano t-shirt ya pure cotton sio sawa na ya polyster 75%, hivyo ule uzito wake unaifanya ikae vizuri mwilini. Epuka nguo zinazoonekana kwa macho kuwa zimeanza kuchoka (kuchakaa). Usiache ndevu ziwe msitu
 
asante sana mkuuu...
 
kuna mdau kachangia vyema.mtoa mada hana wasiwasi na rangi wala uzuri anataka utanashati wengi hamja elewa.

kwanza ndugu vaa size yako kama ni suruali au shati.vaa suruali zisizo na mapana ya kizamani.
mtu mweusi anapendeza na nguo za cream. blue isiyo kolea na nyeupe.angalia aina za viatu ziendame na nguo mfno.mchongoko na surual ya kitambaa.flat mbele jeans na kadet.usivae draft chini na juu.usivae shat na suruali zinazofanana rangi.uwiiiiiii mdogo wangu mengine next time.

asante kaka .....
 
hongera kwa kutamani kuwa samrt, hao, wanaokubeza ndio uchafu wa akili zao, kikubwa badili muonekano, anza kuvaa suruali za kitambaa model zile, na mashati mikono mirefu au mifupi, pia nguo nunua popote ili mradi nzuri ndugu, si mpaka uone duka limeandikwa classic. mimi uwa navaa nguo za tandika bei buku jero, nikilipeleka kwa fundi nikabana shati, namfunika mpk wa classic shop, kingine jikubali aisee, ukiwa smart raha sana, mimi bado kidogo mzeee 1 anipe mtoto wake church awe mke.

ahahaha...asante mkuu...
 
Habari wakuu,
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo
lakini hazinipendezi.

Jitahidi kutafura hela saana,automatic utakua mtanashart.
 
muone model martin kadinda

mkuu kama unapicha yake weka maana sijawahi kumwona martin kadinda huyo model umsemaye, naona atakuwa mpolesana labda na mbuninifu wa mavazi.
 
1408284562089.jpg
 
jua jinsi ya kupangilia nguo zako kingine usivae nguo kubwa sana au ndogo sana hakikisha imekutosha
 
piga zoezi pia kuufanya mwili wako kukubali kuvalishwa ukavalika,hcho pia kinaweza kusaidia japo kdogo
 
Tanganyika Watanashati ni wa kutafuta sana,wengi wanadandia dandia tu wanavaa iliamradi kuficha uchi.
 
Habari wakuu,
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo
lakini hazinipendezi.

Kama wewe ni Mkama Sharp polisi aliyekuwa Msimbazi basi vumilia tu, huna nguo itakayokupendeza!!!
 
Back
Top Bottom