Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

Ukute ulipigwa kibuti na demu na ukaambiwa hupendezi basi nawe ukaamini moja kwa moja. Ujana kazi sana ila kumbuka soon utafika 30 hayo ya nguo yatabaki kuwa priority ya watoto wako wewe utaanza kukimbizana na ada za watoto na kodi ya nyumba. Kijana 25 tayari wewe ni mtu mzima hiyo miaka utaiacha soon.yasikusumbue sana labda kama kila unapoenda watu wanakushangaa ulivyovaa otherwise ni vitu vidogo hivyo usi complicate
 
va zile nguo za daimond yale maplastiki sijui lailoni. unatakiwa ujipende mwenyew sio mpaka uone flani kafanya ivi nawe ndo uige nakama ulivyo shauriwa uvae saiz yako isikuzidi upana sana na urefu sana mana kuva over saiz ni kufanya uonekane vibaya. na kama ni mtumba nunua ule unao ngaa kidogo sio una nunua mtumba uliokubuhu mpauko
 
Huwa nawaangaliaga kwa jicho la huzuni sana wale wanaume wenzangu ambao vifungo vya shati kafunga tofauti, kola imekaa upande, kachomekea shati vibaya mkanda karuka looks au uko upande viatu ni vichafu tai imekaa kihasara na ni mtu yuko kwenye ndoa unajiuliza ina maana mkewake hakuyaona haya...??
 
Black iz beauty .

1408346739800.jpg
 
Back
Top Bottom