Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

MkamaShapu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
317
Reaction score
170
Habari wakuu,
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo
lakini hazinipendezi.
 
Huna damu ya kuvaa ukapendeza!,Jikubali ilivyo utamaliza pesa zako bure kwa kununua nguo tu wakati kuna wenzako hata akivaa gunia tu anapendeza!
 
...habari wakuu...
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo...
lakini hazinipendezi...

...mbona maelezo yako yanaonesha tayari wewe ni mtanashati!?....kitu cha muhim ninachoweza kukushauri ni ujiamini na usmart mzuri unaotakiwa kuuangakia ni wakichwani kwanza,hayo mambo mengine yanakuja na kupita kama upepo...
 
MANGUNGO

...Mkuu baba yangu na mama yangu wanaingia vipi hapa..???.
JIHESHIMU MKUU...
 
Last edited by a moderator:
...mbona maelezo yako yanaonesha tayari wewe ni mtanashati!?....kitu cha muhim ninachoweza kukushauri ni ujiamini na usmart mzuri unaotakiwa kuuangakia ni wakichwani kwanza,hayo mambo mengine yanakuja na kupita kama upepo...

asante mkuu...
 
Kk yangu weusi si tatizo! Unaweza Kuwa unapendeza lkn ww huhisi hivyo. Pia unaweza kuonana na fashion designer mzuri akakusaidia.
 
Hukupaswa kumjibu hivi sio ustaarabu hata kidogo tusigeuze jukwaa kama kijiwe cha wahuni na wavuta bhangi
Ukiona post haikufai au huna cha kuchangia au hujaipenda unapita kimyakimya

Asante sana mkuu...
maana kuna watu humu wanajitoa fahamu
 
...habari wakuu...
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo...
lakini hazinipendezi...

Acha Ujinga Wako TAFUTA HELA MWANAUME UKISHA JIREMBAREMBA UTAANZA KUHISI KAMA MCHELEMCHELE. Uzuri Wa Mwanaume Ni Pesa
 
ukiwa smart wa ubongo na mfukon inatosha utapendwa tu, huon mifano kwa kina remyongala,gadaf nk
 
Kibo10 duka lako huwa hufungui Jumapili?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom