sio karne hii labda ubadilishe calender ukutani uweke 1977
jenga ATM machine pembeni ya dressing table iwe ina hela masaa yote walah badala ya dear atakuita roho mtakatifu cc Maasai dada
Mjali....au kujali hujui??
mpe darasa
Subiri nianzishe msread kufundisha kujali
hahahhhah peasa sio mapenzi sweethat
hayo maisha ya kupewa pesa a.k.a kuhongwa tushayapitia na hatuku enjoy hata kidogo
muwe na pesa za kawaida tu katika mapenzi ili muweze kula,kutembelea sehem mbalimbali na kufanya yenu kama kujenga,na ,maendeleo mengine
tushapita huko tukaishia kunynyaswa tu na masharti magum
niko na baby wangu mr m na utuache tulale
k goodnight
goodmorning
its midnight pal tarehe ndo different
good evening