Kama unampenda utamlinda.
Question: why are vegetarian
women silent during sex?
Answer:they are in state of shock
that a piece of meat can give some
much pleasure
mmmmmmmmmmmmmmmmmh hayahabari wanajf,naomba msaada kwa hili,yawezekana uelewa wangu mdogo,huwa najiuliza kuwa uwe mbali au karibu na mpenzi wako,ni mambo gani waweza kufanya akajua unampenda?
habari wanajf,naomba msaada kwa hili,yawezekana uelewa wangu mdogo,huwa najiuliza kuwa uwe mbali au karibu na mpenzi wako,ni mambo gani waweza kufanya akajua unampenda?
Kwa ME au KE?! Kwasababu the rules differ.
kula kiboga!!
mpe nyama ya ulimi wa noah
Habari wanajf,naomba msaada kwa hili,yawezekana uelewa wangu mdogo,huwa najiuliza kuwa uwe mbali au karibu na mpenzi wako,ni mambo gani waweza kufanya akajua unampenda?
Kwa wote mkuu.
Mpe 0713......mini kabang atakupenda mpaka utamwambia basi punguza kidogo.Habari wanajf,naomba msaada kwa hili,yawezekana uelewa wangu mdogo,huwa najiuliza kuwa uwe mbali au karibu na mpenzi wako,ni mambo gani waweza kufanya akajua unampenda?
sio karne hii labda ubadilishe calender ukutani uweke 1977