Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 482
- 969
Km una uwezo wa kifedha, hii menu inatakiwa uipige kila siku yani, sio unagongana ukimwaga km vimate unatakiwa utoe tui haswaa yani..
Ahsante sana mkuu mungu akubarikiKitabibu, miezi 6 bado siyo tatizo. Itachukuliwa kama tatizo iwapo baada ya mwaka 1 wa ngono bila kinga hakutakuwa na ujauzito. Kwa sasa hata ukienda hospitali km daktari anaijua kazi yake vizuri atawarudisha mkaendelee tu na mchezo mpaka mwaka uishe. Kama una wasiwasi na hali yako kwa sababu yoyote ile unayoijua, wahi kupima mwenyewe. Ni rahisi sana kumpima mwanaume kuliko mwanamke.
Fahamu mzunguko wa mwezi wa mwenzi wako. Kama uko regular (haubadiliki badiliki kila mwezi) basi ni rahisi kupata ujauzito (km nyote hamna tatizo). Akiingia mwezini, anza kumhesabia. Siku ya kwaza ya mwezi (kutoka damu) iwe 1, siku ya pili iwe 2, hesabu hivyo hivyo hata baada ya kutoka. Hata akitoka, endelea kuhesabu mpaka siku anaingia tena. Akiingia tena unaanza kuhesabu 1. Mzunguko wake kwa mwezi huo utakuwa siku zote ulizohesabu kuanzia siku ya 1 mpaka siku 1 kabla ya kuingia tena mwezini. Kwa shemeji yako hapa huwa ni siku 28. Kwa huyo wa kwako inaweza kuwa tofauti. Mhesabie tena mwezi wa pili, wa tatu, nk. Kama mzunguko wake ni regular hesabu yako itakuwa ni siku zile zile kila mwezi. Kwa shemeji yako hapa ni hiyo hiyo 28.
Sikiliza sasa jinsi ya kumpa ujauzito. Wanawake hutoa yai siku 14 kabla ya kuingia mwezini. Kama mwanamke ana mzunguko regular ni rahisi kujua hiyo siku ya 14 katika mzunguko. Wa kwangu mzunguko wake ni siku 28. Kwa hiyo siku ya 14 baada ya siku ya kwanza kwenda mwezini najua yai lake litakuwa tayari. Lakini kumbuka mbegu za kiume zinakuwa hai ktk mwili wa mwanamke hadi siku 3. Kwa maana hiyo hata ukiziweka ktk mwili wake siku 3 kabla ya yai kutelemka, bado kuna uwezekano wa kumpa ujauzito. Na yai nalo linadumu ktk mwili wa mwanamke hadi siku 3 hizi. Kwa hiyo siku zenye uwezekano wa ujauzito ni 7 katika mzunguko wa mwakamke. Siku 3 kabla ya siku ya yai kushuka, siku 1 ya yai kushuka na siku 3 baada ya kushuka. Ukiweka mbegu zako mwanzoni mwanzoni mwa siku hizo 7, uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike. Ukiweka mwishoni mwisho, uwezekano mkubwa ni wa kiume. Mbegu ya X (ke) hutembea taratibu lakini haifi haraka. Mbegu ya Y (me) inakimbia haraka, kuchoka na kufa haraka.
Njia ya uhakika ya kujua km mkeo yuko tayari ni kutumia ovulation kit. Zinauzwa katika pharmacy lakini sina uhakika kama pharmacy za Bongo zipo. Inapima kwa njia ya mkojo na unaweza kuifanyia nyumbani wewe mwenyewe. Iko kama kipimo cha UKIMWI cha nyumbani. Ina maelekezo mazuri (kwa Kiingereza) ya jinsi ya kuitumia na kujua majibu yanapokuwa positive ama negative. Ikiwa positive unaweka mbegu siku hiyo ndani yake. Kwa sababu itakuwa gharama kupima kila siku katika mzunguko, inabidi ukisie siku zile za katikati katika siku zile 7 "hatari" ili upime mara 2-3 hivi na kupata majibu chanya.
Kuna watu wamesema fanya ngono naye kila siku. Hilo ni kosa. Mbegu kama zilivyo za mahindi, zinahitaji muda kukomaa. Kufanya ngono kila siku kunaweza kuwa na matokeo hasi kwa mtu anayetafuta mtoto.
ke ana miaka 20 na mimi miaka 27huyo mke ana umri gani na wewe una umri gani tuanzie hapo kwanza,usije kua umeoa bikra wa mtoto wa miaka 9 kijijini huko alafu unakuja kulia lia hapa
Kunywa asplini sita na tangawizi nane then chemsha pili kichaa tisa changanya na maji halafu kunywa, then kunywa safari nne hala nenda kalale ukiamka utamkuta ana mimba
bro punguza presha mtoto ni mipango ya Mungu,ondoa hali hiyo akilini kaka itafika hatua utaanza kupunguza upendo kwa mkeo,usijihisi una tatizo na usihisi mkeo ana tatizo.ke ana miaka 20 na mimi miaka 27
Thanksbro punguza presha mtoto ni mipango ya Mungu,ondoa hali hiyo akilini kaka itafika hatua utaanza kupunguza upendo kwa mkeo,usijihisi una tatizo na usihisi mkeo ana tatizo.
bro ongeza upendo na amani ndani ya ndoa,sali kwa muumba wako kamwe usiende kwa waganga.
Mmmh Mimba kutunga ni hadi asokomeze nanii adi ndani? Hujui kama mtu anaweza jimwagia shahawa kwenye uke hata zilizo kwenye condom na akapata Mimba?Imenikumbusha wakati nmemuoa wife nilikuwa napiga mechi mda wote yaan asubuh jioni yaan kwa siku naweza kumdinya hata mara tatu. ndani ya mwezi tu ndoa ILIJIBU dadeq😂...kwahyo kijana ongeza juhudi usiwe mzembe jitahidi kupiga kila siku na kingne muwe mnafanya doggy style,huwa rahisi mwanamke kushika mimba,pia wakat unagegeda kama una uume mfupi kaeni style popo kanyea mbingu maana usikute una kafupi kwahyo unashindwa kufikisha mbegu kwenye kizazi cha mkeo...
Huwajui mawifi wa kiswahili hapo wameshaanza vijimanenoStress huchangia mimba kuto kufunga. Sahau habari ya mimba na ufanye mapenzi kama date yako ya kwanza.
Sio rahisi.ndio maana bao kinaruka .lazima kuwe na spidi ya kufikisha sperm kwenye sehemu stahikiMmmh Mimba kutunga ni hadi asokomeze nanii adi ndani? Hujui kama mtu anaweza jimwagia shahawa kwenye uke hata zilizo kwenye condom na akapata Mimba?
Mkuu hili tatizo ulitumia hiyo tiba!nakumbuka mwanamke wangu alikuw anatatizo la hormonie imbalanc